Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Thread Closed!Ni rahisi, nenda ofisi yeyote ya posta iliyo karibu nawe, utapatiwa fomu, utajaza taarifa zako. Utatakiwa ukabidhi passport zile ndogo kabisa za watu wawili mbili kila mtu, hizo ni kwa ajili ya kitambukisho, watakupa gharama ya hilo sanduku kwa mwaka. Ukisha lipia utapatiwa funguo na kuonyeshwa sanduku lako.
What is thisThread Closed !!!!
Jibu Ulilopewa Ndiyo Sahihi Na Hakuhitajiki NyongezaWhat is this
Hatari sanaMimi ninalo sijalipia mwaka wa tatu huu, njoo tuongee biashara nikuachie.