Nahitaji kujua wanapouza miche ya MACADEMIA.

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Mimi ninaishi wilaya ya Temeke Dar es Salaam, ninahitaji kununua miche ya muda mfupi ya MACADEMIA, miche hiyo ipatikane Morogoro, Moshi na Dar es Salaam. Mnaomjua anayeiuza karibuni hapa uwanja ni wenu.
 
Hivi ina manufaa gani ile mkuu. Samahani kwakutoka kidogo kwenye mada
 
Tafuta mafinga,nasikia wanalima
 
Hivi ina manufaa gani ile mkuu. Samahani kwakutoka kidogo kwenye mada
Macademia ni karanga pori, ni nzuri sana na kwa wakulima zina bei nzuri sana nje ya Tanzania.
Wapo wanaouza ila si ya muda mfupi.
 
Mimi ninaishi wilaya ya Temeke Dar es Salaam, ninahitaji kununua miche ya muda mfupi ya MACADEMIA, miche hiyo ipatikane Morogoro, Moshi na Dar es Salaam. Mnaomjua anayeiuza karibuni hapa uwanja ni wenu.
Sijui wapi wanakouza Ila Mimi ninahitaji mashine ya kubangua makademia kwa anayefahamu naomba anijulishe.
 
P
Mimi ninaishi wilaya ya Temeke Dar es Salaam, ninahitaji kununua miche ya muda mfupi ya MACADEMIA, miche hiyo ipatikane Morogoro, Moshi na Dar es Salaam. Mnaomjua anayeiuza karibuni hapa uwanja ni wenu.
Picha yake nasi tuijue
 
Inauzwa pia Mbozi - Songwe na kampuni ya LIMA LIMITED, Miche grafted
 
Back
Top Bottom