Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Tafuta mafinga,nasikia wanalimaMimi ninaishi wilaya ya Temeke Dar es Salaam, ninahitaji kununua miche ya muda mfupi ya MACADEMIA, miche hiyo ipatikane Morogoro, Moshi na Dar es Salaam. Mnaomjua anayeiuza karibuni hapa uwanja ni wenu.
Macademia ni karanga pori, ni nzuri sana na kwa wakulima zina bei nzuri sana nje ya Tanzania.Hivi ina manufaa gani ile mkuu. Samahani kwakutoka kidogo kwenye mada
Sijui wapi wanakouza Ila Mimi ninahitaji mashine ya kubangua makademia kwa anayefahamu naomba anijulishe.Mimi ninaishi wilaya ya Temeke Dar es Salaam, ninahitaji kununua miche ya muda mfupi ya MACADEMIA, miche hiyo ipatikane Morogoro, Moshi na Dar es Salaam. Mnaomjua anayeiuza karibuni hapa uwanja ni wenu.
Picha yake nasi tuijueMimi ninaishi wilaya ya Temeke Dar es Salaam, ninahitaji kununua miche ya muda mfupi ya MACADEMIA, miche hiyo ipatikane Morogoro, Moshi na Dar es Salaam. Mnaomjua anayeiuza karibuni hapa uwanja ni wenu.