Nahitaji kujuzwa kuhusu biashara ya Barber Shop

khaliciouz

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
579
Reaction score
210
Habari wakuu??

Naomba kujua vifaa vya vyote vinavyotakiwa kufungua saloon ya kiume, pia nikijua uendeshaji wake pamoja na kiasi kinacho patikana wastani kwa wiki ntashukuru sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…