khaliciouz
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 579
- 210
Habari wakuu??
Naomba kujua vifaa vya vyote vinavyotakiwa kufungua saloon ya kiume, pia nikijua uendeshaji wake pamoja na kiasi kinacho patikana wastani kwa wiki ntashukuru sana.