Nahitaji kukopa milioni 9, makato yakoje?

Hii ndio JF, ambapo kila mtu anajua kila kitu. The raw and the cooked utazikuta hapa
 
Kwani lazima wote tufanane?

Habari,ninahitaji kujenga nyumba simple mshahara wangu laki 5 je nikisema nijilipue NMB au CRDB nivute mkopo wa million 9 nitakuwa nakatwa shillings ngapi? msaada please
Ukikopa pesa hiyo Tsh. 9 mil NMB kwa muda wa miaka mitano (5 yrs) sawa na miezi 60, kwa mwezi utakuwa unakatwa Tsh. 223,673.18 ambapo hadi deni lina isha utakuwa umechangia interest ya jumla ya Tsh. 4,420,390. 8 ambapo jumla ya deni lote utakalo lipa pamoja nainterest ni jumla ya Tsh.13,420,390.8

NB. Hesabu hiyo ni kwa muda wa miaka mi 5 kama utahitaji hesabu ya miaka zaid ya hapo au pungufu ya hapo utasema nikupigie hesabu upya.
Habari,ninahitaji kujenga nyumba simple mshahara wangu laki 5 je nikisema nijilipue NMB au CRDB nivute mkopo wa million 9 nitakuwa nakatwa shillings ngapi? msaada please [emoji120]
 
Mi nahitaji miezi 18 hapo hio hio milioni 9
 
Mill 9 Kwa miaka miatano atakatwa 250,000 hiv..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…