Nahitaji vifaranga vya kuku wa kienyeji kwa ajili ya kufuga..Mimi ndo kwanza naanza kufuga kuku wa kienyeji.
Pia naomba ushauri nianze kufuga kuku wangapi.Matarajio yangu ni kuwa na kuku 500 adi mwisho wa mwaka huu...
Usiangalie kuwa na idadi kubwa ya kuku my friend, angalia mzunguko (biashara) kwanza. Kuza - uza, kuza - uza. Ni kuku wa mayai au unataka kuuza wa nyama? Anza na 100 - 150 kisha upime gharama zake na kuimarisha ujuzi. Kuna mambo mengi ya kujifunza kabla hujabobea. :A S clock:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.