Nahitaji kukutana au kuwasiliana na Waziri Bashe

Nahitaji kukutana au kuwasiliana na Waziri Bashe

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
612
Reaction score
1,698
Mimi kama Mtanzania wa kawaida, ninayo haki na wajibu wa kukutana na kiongozi wangu yeyote na kubadilishana naye mawazo ili kujenge nchi yetu kwa pamoja.

Mimi nimebehetika kukaa katika biashara ya mazao na pia kulima mazao katika mikoa minne ya kanza ya Magharibi na kusini. Nimefanya export ya Mazao katika nchi Jirani nne.

Nimekua nafurahishwa sana na hatua ambazo anachukua katika kupambana na changamoto katika kulimo.
Nimeona kuwa Kuna sehem ambazo zimeshaulika sana. Sehem hizo naamini zina impact kuliko maeneo yanayo angaliwa zaidi. Kuna soko kubwa sana ya Mazao naapato Makubwa ya Dollar yanapita pembeni.

Naumia sana kuona nchi yangu tunafikia hatua ya kuteseka na Dollar wakati hatukupaswa kuwa hivyo.
Kabla sijakutana na Mh. Waziri, naamini hata yeye anaposema export ya Mazao ya kilimo atakua hawazi export ya Ulaya pekee ka wengi wetu.

Tunayo export kubwa zaidi ya Ulaya lakini kwakua sio nchi za wazungu hii hatuoni kama ni export na mwisho tunapoteza mapato na tija.

Naomba nipewe utaratibu wa kuonana na wewe Mh. Waziri.
 
Ungeandika barua ya WAZI ikielezea ushauri wako itamfikia.
 
Back
Top Bottom