Nahitaji kukutana na Yusuph Mlela

Amri kuu ni Upendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
789
Reaction score
489
Wadamu naomba anayeweza kuniunganisha na jamaa mtajw hapo juu au kama mwenyewe atasoma post yangu basi ani PM au awasiliane nami kwa 0656353925. Kuna movie niliitunga na kuiandika lakini uwezo wa kuicheza mimi kwa sasa sina na mtu ninayeona ataweza kuitendea haki movie hiyo ni huyu jamaa. Majibu tafadhali
 
Bongo movie unit au TAFF, si wana ofisi zao? Naona ukienda ktk ofisi zao utampata kwa urahisi au hata vinja vya leaders.
 
Ok thank u buddy! Ila kwa kuwa nipo mbali kidogo nawish kuchonga naye hewani ili tupeane miadi ya uhakika. Thank you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…