Amri kuu ni Upendo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 789
- 489
Wadamu naomba anayeweza kuniunganisha na jamaa mtajw hapo juu au kama mwenyewe atasoma post yangu basi ani PM au awasiliane nami kwa 0656353925. Kuna movie niliitunga na kuiandika lakini uwezo wa kuicheza mimi kwa sasa sina na mtu ninayeona ataweza kuitendea haki movie hiyo ni huyu jamaa. Majibu tafadhali