Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,202
- 4,653
Nyungu ndo nini mkuuMimi nina uzoefu na biashara ya kuuza nyungu. Baada ya kupiga sana hela Corona ya tz Sasa niko Nairobi, napiga hela kwenye Corona phase ll
Wazo zuri mkuu naomba unipe maelezo kwa kirefu zaidi yaani yaani nanua kwa maeneo gani hasa yenye bei poa kwa apo MorogoroMkuu nna uzoefu kiasi na kilimo cha mpunga, kiufupi na kwa ushauri, nunua mpunga wakati wakulima wanavuna afu uza au koboa mchele wakati wanaanza kilimo, kulima hakuna faida yoyote zaidi ya hasara na risk kubwa
Yanapatikana kwa wingi kukodi elfu 40 kwa mashamba ya kulima mahindi na laki moja kwa mbuga za mpungaConnection ya mashamaba ipoje huko?? bei na hupatikanaji wake
Namba ya simuYanapatikana kwa wingi kukodi elfu 40 kwa mashamba ya kulima mahindi na laki moja kwa mbuga za mpunga
Mvomero na Kilombero..... Wakati wa mavuno, bei huwa inakua chini, wakati wa kilimo bei huwa inakua juu mana mpunga unakua haupatikani na wakulima wengi Wanahitaji pesa kwa ajili ya kilimoWazo zuri mkuu naomba unipe maelezo kwa kirefu zaidi yaani yaani nanua kwa maeneo gani hasa yenye bei poa kwa apo Morogoro
Uko sahihi; kukusanya mazao wakati wa mavuno ni bora zaidi kuliko kulima. Kulima ni very risk maana mvua zikizidi mazao yanaenda na mafuriko na zikikataa ushakodi mashamba na kulima ni hasara pia; lakini ukisubiri mavuno yakigoma hela yako inapona unaangalia kingine cha kufanya.mkuu wazo zuri sehemu uliyo target ipo vizuri ila naomba nipandikize wazo lingine katika mawazo yako,najua una nia iliyothabiti ila mkuu mimi naona ilikuwa bora zaidi wewe kununua hayo hayo mazao unayo yaitaji kuyalima ili kuepuka hasara huenda labda ukashindwa kuvuna kile kiwango ulichokusudia.
Mi nilijaribu kulima mahindi mwambao mwa mto wa bwawa la kihansimaeneo ya Chita; kilimo cha umwagiliaji. Initially ilionekana ni rahisi coz maji yapo karibu sana na ardhi ilikua imenona maji, daah from nowhere kina kikapungua likapiga jua la hatari kumbuka mvua ilizidi mwaka jana kuja mwaka huu so majarubani hapakulimika mpunga so wadau tukaona tukaweke mahindi maana ndo kawaida baada ya mavuno ya mpunga tunaweka mahindi tunapiga kilimo cha umwagiliaji.Mkuu nna uzoefu kiasi na kilimo cha mpunga, kiufupi na kwa ushauri, nunua mpunga wakati wakulima wanavuna afu uza au koboa mchele wakati wanaanza kilimo, kulima hakuna faida yoyote zaidi ya hasara na risk kubwa
Vipi mkuu kiongozi huwezi kufanya kilimo tenaMi nilijaribu kulima mahindi mwambao mwa mto wa bwawa la kihansimaeneo ya Chita; kilimo cha umwagiliaji. Initially ilionekana ni rahisi coz maji yapo karibu sana na ardhi ilikua imenona maji, daah from nowhere kina kikapungua likapiga jua la hatari kumbuka mvua ilizidi mwaka jana kuja mwaka huu so majarubani hapakulimika mpunga so wadau tukaona tukaweke mahindi maana ndo kawaida baada ya mavuno ya mpunga tunaweka mahindi tunapiga kilimo cha umwagiliaji...
Siwezi acha kufanya kilimo coz sio mara ya kwanza kuangukia pua hua inatokea mara moja moja; lakini nataka nijipange km mwaka hivi niwe na mashamba yangu mwenyewe in future Mungu akijaalia niwe hata trekta dogo itasaidia kidogo kupunguza gharama za uendeshaji; ila kwa msimu huu unaokuja nitakusanya tu mpunga kwanza japo bei mwaka huu imekataa sana;Vp mkuu kiongozi huwezi kufanya kilimo tena
Vp kwa mashamba ya mambegwa yana rutuba mkuuMsowero mahindi na mpunga utapata, suala hapo upate wenyeji wenye uchungu na wewe, wakupeleke kwenye mashamba yenye tija, Kiboko asali, kwa Rames, kwa Lilah, kwa Slim, mikongeni n.k.
Shida ya hicho kijiji na vijiji vingi vya Kilosa ni utapeli mwingi, ardhi yenye rutuba na mabonde yenye maji yapo, ila hivyo vijiji vya Kilosa vina laana ya ulozi, unafiki, fitina na utapeli, uwe makini!
Kila la heri mkuu!
Everyday is Saturday............................... π
Mambegwa ndiko kwenyewe, ila kama huna mwenyeji, unaweza kupewa shamba kumbe ni bwawa au ndiyo njia ya maji, msimu wa mvua.Vp kwa mashamba ya mambegwa yana rutuba mkuu
Hafu akishanunua afanyeje bossMkuu wazo zuri sehemu uliyo target ipo vizuri ila naomba nipandikize wazo lingine katika mawazo yako,najua una nia iliyothabiti ila mkuu mimi naona ilikuwa bora zaidi wewe kununua hayo hayo mazao unayo yaitaji kuyalima ili kuepuka hasara huenda labda ukashindwa kuvuna kile kiwango ulichokusudia.
Laana ya asili kabisa[emoji16]Msowero mahindi na mpunga utapata, suala hapo upate wenyeji wenye uchungu na wewe, wakupeleke kwenye mashamba yenye tija, Kiboko asali, kwa Rames, kwa Lilah, kwa Slim, mikongeni n.k.
Shida ya hicho kijiji na vijiji vingi vya Kilosa ni utapeli mwingi, ardhi yenye rutuba na mabonde yenye maji yapo, ila hivyo vijiji vya Kilosa vina laana ya ulozi, unafiki, fitina na utapeli, uwe makini!
Kila la heri mkuu!
Everyday is Saturday............................... π