Nahitaji kulima Mahindi na Mpunga Msowero-Kilosa, Morogoro. Naomba ushauri toka kwa yeyote mwenye uzoefu huko

Nahitaji kulima Mahindi na Mpunga Msowero-Kilosa, Morogoro. Naomba ushauri toka kwa yeyote mwenye uzoefu huko

Tahadhari,
Uwe makini sana kilosa ni mkoa uliojaa matapeli wengi sana.Nilishapata tatizo huko na taarifa hizi nilizipata kituo cha polisi kimamba.
Nakutakia kila la kheri.
Kilosa siyo mkoa ila wilaya, ila ni wilaya yenye shida SANA kwenye utapeli, uwizi, ujambazi na mambo ya dhuluma yanayofanana na hayo!
Ni matatizo yapo mkoa

Everyday is Saturday............................... 😎
 
naunga mkono hoja...

kuna mwamba alinifanyia udhulumati mitaa hiyo ya kilosa hapo. wapo wanaotafuta kihalali ila wadhulumati pia wapo.
 
Kilosa siyo mkoa ila wilaya, ila ni wilaya yenye shida SANA kwenye utapeli, uwizi, ujambazi na mambo ya dhuluma yanayofanana na hayo!
Ni matatizo yapo mkoa

Everyday is Saturday............................... 😎
Sory nimepitiwa mkuu,natambua kilosa n wilaya ndani ya mkoa wa morogoro.
 
Kama ukifanikiwa kununua mpunga wakati wa mavuno na kuuza kipindi wanaotesha tena utapata faida pia,na uzuri mpunga unatunzika kwa mda mrefu
 
Back
Top Bottom