nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
Watakuja mkuuWazee...
Nilizunguka kwa uchache mitaa ya dumila na viunga vyake! Pako vizuri kuhusu mafuriko sijuiUshauri wadau...
Nahitaji Kulima Wilaya ya Kilosa, Naombeni Ushauri Wa maeneo yasiyo na mafuriko
Uzi tayari..
Sipo kilosa mkuu, nahitaji kulima mahindi na mpunga ila nina wasiwasi na mafurikoKilosa ni kubwa sana. Mikumi, kidodi, magubike, dumila, vidunda yote kilosa. Upo kilosa ipi? Unatarajia kulima mazao gani?
Ule uzi ndo u meni inspire kutafuta sehemu ya kulima kilosa...Nilizunguka kwa uchache mitaa ya dumila na viunga vyake! Pako vizuri kuhusu mafuriko sijui
Naona wamefika...Watakuja mkuu
Niko serious sana mkuu ila nahitaji maeneo ambayo hayana mafuriko kwasababu nakwenda na familiaUko serious au unajaribu, kama uko serious mpunga unaweza lima maeneo ya Kilangali, Mvumi, Mlegeni, Kimamba n.k. mahindi yanalimwa karibia vijiji vyote.
Mvumi huwa kuna mafuriko?Uko serious au unajaribu, kama uko serious mpunga unaweza lima maeneo ya Kilangali, Mvumi, Mlegeni, Kimamba n.k. mahindi yanalimwa karibia vijiji vyote.
Sawa mkuu, Kuna wadau idara ya kilimo halmashauri ya wilaya ya kiloso nimewacheki kuhusu issue yako ninasubiri mrejesho wao ili nikupatie.Sipo kilosa mkuu, nahitaji kulima mahindi na mpunga ila nina wasiwasi na mafuriko
Wapi mafuriko hayasumbui kwa maeneo uliyotaja?
Thanks in advance mkuuSawa mkuu, Kuna wadau idara ya kilimo halmashauri ya wilaya ya kiloso nimewacheki kuhusu issue yako ninasubiri mrejesho wao ili nikupatie.
Tashukuru sana mkuunyakubonga Nina jamaa yangu ni mkazi wa Kilosa anafanya kilimo pia, naweza kukuunganisha nae
Mkuu bado nasubiriSawa mkuu, Kuna wadau idara ya kilimo halmashauri ya wilaya ya kiloso nimewacheki kuhusu issue yako ninasubiri mrejesho wao ili nikupatie.
Mawasiliano ya ofisi hayo. Nilipewa namba ya mdau wa kilimo nikamuuliza kuhusu details ulizonipa akawa anataka pesa kwanza so nikampotezea.Mkuu bado nasubiri
Asante sana mkuu, nashukuru kwa muda wakoMawasiliano ya ofisi hayo. Nilipewa namba ya mdau wa kilimo nikamuuliza kuhusu details ulizonipa akawa anataka pesa kwanza so nikampotezea.
- Halmashauri ya Wilaya Kilosa
- Telephone: 023 2623093
- Mobile: 0737847880
- Fax: 023 2623333
- Email: ded@kilosadc.go.tz