Nahitaji kumchukua mtoto wangu

Nahitaji kumchukua mtoto wangu

Abul Aaliyah

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2016
Posts
7,718
Reaction score
5,899
Wakuu nina mwanangu ambaye nilizaa na mke wa kwanza ambaye tumeachana miaka sita iliyopita.

Na hivi sasa mtoto ameshafikisha umri wa miaka 8, nahitaji kumchukua mwanangu nikae naye. Naomba msaada wa kisheria tafadhali.
 
Ndugu mpaka nmefika hapa co jambo jepesi,nmejaribu kumuomba mtoto niende nae kwetu likizo amegoma na mtoto hajawahi kufka kwetu.

Hili kwangu ni zaidi ya tatizo

Hamna maelewano mazuri hadi utumie sheria?
Ukute unafanya tu hivyo ili kumkomoa mama mtoto, mwache mtoto aendelee kukua...jenga nae ukaribu kwanza.
 
Unamchukua ili iweje? Akizidiwa atakuletea mwenyewe otherwise we kula jiwe, (na pia kula bia) ...atacheza kikoba alipe ada.

We zaa wengine ambao mama yao atakua tayari kukupatia au kuishi na wewe kabisa
 
Fafanua Vizuri.....! Huyo mwanao ulimuweka kwa vituo vya kulea watoto yatima au alikuwa anatunzwa na Watu.!
Kama yupo kwa mama yake au Walezi wengine mukae Muyajenge..!
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Ndugu mpaka nmefika hapa co jambo jepesi,nmejaribu kumuomba mtoto niende nae kwetu likizo amegoma na mtoto hajawahi kufka kwetu.
Hili kwangu ni zaidi ya tatizo
Pole mkuu, mpe muda...
Huko kwenye sheria mnazidi kutengeneza chuki
 
Nmeshatoa muda na bahati mbaya wazazi wa mwanamke wanamuunga mkono mtoto wao.

Mie binafsi kumuacha mtoto nafsi inakataa kabsa na pia kadiri anavyoendelea kuwepo kule anamezeshwa sumu na mbaya zaidi mtoto anakaa na wazazi wa mamake na c yeye mwenyew kama hawezi kukaa nae kwann hataki kumuachia?

Pole mkuu, mpe muda...
Huko kwenye sheria mnazidi kutengeneza chuki
 
Back
Top Bottom