Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Unaangaika[emoji849]
Ndo ivoivo mkuuCjakuelewa
😂😂😂 muache tu aje amchukue mwanae.Unaangaika🙄
Ongea na mzazi mwenzio.
Nenda ustawi wa jamii ukapate maelekezoWakuu nina mwanangu ambaye nilizaa na mke wa kwanza ambaye tumeachana miaka sita iliyopita.
Na hivi sasa mtoto ameshafikisha umri wa miaka 8,nahitaji kumchukua mwanangu nikae nae,naomba msaada wa kisheria tafadhal.
Kuna bifu kali sana hapoHamna maelewano mazuri hadi utumie sheria?
Ukute unafanya tu hivyo ili kumkomoa mama mtoto, mwache mtoto aendelee kukua...jenga nae ukaribu kwanza.
Hamna maelewano mazuri hadi utumie sheria?
Ukute unafanya tu hivyo ili kumkomoa mama mtoto, mwache mtoto aendelee kukua...jenga nae ukaribu kwanza.
Haya mambo mwisho wa siku yanamuathiri mtoto, watu wananyang'anyana mtoto ili tu kukomoana.Kuna bifu kali sana hapo
Pole mkuu, mpe muda...Ndugu mpaka nmefika hapa co jambo jepesi,nmejaribu kumuomba mtoto niende nae kwetu likizo amegoma na mtoto hajawahi kufka kwetu.
Hili kwangu ni zaidi ya tatizo
Kuna bifu kali sana hapo
🤜💋Mtoto wako au wenu?Umchukue umpeleke wapi?Kwanza ulitoa mahari kwa mama wa mtoto?Mtunze akiwa kwa mama yake.
Pole mkuu, mpe muda...
Huko kwenye sheria mnazidi kutengeneza chuki