Nahitaji kumpeleka ndugu yangu kujiunga na chuo cha clinical officer, sasa je fomu bado zipo?

Nahitaji kumpeleka ndugu yangu kujiunga na chuo cha clinical officer, sasa je fomu bado zipo?

MWANANCHI MUSOMMMA

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
328
Reaction score
50
Naombeni mniambie walau Lugalo, Ifakara au Kibaha bado zipo wazi nafasi kwani nahitaji kumpeleka hata uuguzi kwani kukaa home nako sio vizuri kwa mtoto wakike .

Tafadhali madaktari, wauguzi wafanyakazi wa kawaida, wanajeshi na wengineo wanaofahamu kama bado nafasi zipo wanijuze nami napatikana ktk namba hii: +255 657 740 797
 
Mkuu kwa uelewa wangu application zinafanyika online,hebu ingia kwenye website ya NACTE now utapata mwongozo,Narudia NACTE na si NECTA!,Kila la heri mkuu!
 
saivi watu wana chaguliwa direct na wizara ya afya unapeleka maombi unalipia na bank slp...wanakupangia chuo wnywe kulingana na corse uliyo omba...ila pia baadhi ya collage huwa wanapewa idadi ya wanafunzi waku wasajl shuleni....mfano KAM,KAMPALA, EKENFORD TANGA&MVUMI& KAIRUKI...ada >2000,000.
 
Back
Top Bottom