Nahitaji kumroga mtu, aliyenipiga mbele ya mke wangu

Huyo jamaa atarudia upumbavu wake kukupiga tena na tena!,nenda serikali za mtaa kuweka sawa mipaka...Kamtie ndani Polisi,honga hakimu wampige miezi sita jela kwa kujeruhi akitoka na hapo atauza akae mbali...
 
Mfanye afilisike, hata hako kakiwanja kalikobaki akauze afu aende mbali na macho yako, mwambie mganga amfanye auze eneo auchukie mkoa , aende mkoa mwingine, akapotelee huko. Akafilisike asiwahi shika Ela.
hana chochote tayari ni maskini any way neno langu lisichukuliwe vibaya ila hana chpochote hata kinyumba anachoishi hakina milango wala madirisha hakina umeme wala taa anategemea mwangu wa taa kutoka kwangu, kiufupi maisha yake ni bange na pombe na ubabe
 
Kama ulipata hela ya kujenga na kununua gari,naimani huwezi kukosa hela ya kujenga ukuta,jenga ukuta mrefu upande wake alaf ishi maisha yako,hakuna haja ya kuendelea kutafuta amani na jirani mtata
hilo wazo lipo ila tayari kajenga mpakani fensi nitajenga kwangu pia hiyo haitanizuia kulipiza juu ya huyu mwehu
 
ni sawa ila kama sio mtu wa makundi na vijiweni sana hao wahuni kuwapata ndio kipengere ila kwa kuwa mimi nahitaji kumkomesha kama unaweza kuniunganisha nao fanya hivyo
Usifanye hio kazi na mtu zaidi ya mmoja lazima hawo wahuni watakuja kuropoka, fanya mambo yako wewe na mganga usihusishe watu wa mtaani watakupaka tope mchana kweupe.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Ukosefu wa Elimu ni hatari kubwa sana.
Kwa Nini usiloge upate pesa/utajiri kama kweli huo upuuzi unasaidia?!
mkuu usiamini kuwa kila mtu shida yake ni pesa kama kwako ilivyo shida zinatofautiana hata ukiwa na pesa ukikosa amani ya moyo na maisha pesa zako utaziona hazina maana labda nikwambie tu mkuu sina uhitaji na pesa kwani kwa kidogo alichonijalia mwenyezimungu nashukuru na kinanitosha wewe endelea kutafta pesa kwa kuwa ndio uhitaji wako ahsante
 
Mroge akuuzie ilo eneo lililobak
 
Ujinga haufutwi na ujinga zaidi.

Nakushauri tafuta kwengine pa kuishi haraka iwezekanavyo, uza hapo uwr nae mbali kabisa.

Yatayokuja kukuta muda mfupi ujao kupitia kwake usije ukasema hukushauriwa la kufanya.
Maisha ni mapambano. Uuze nyumba kwasababu ya boya mmoja fulani hivi? Hapana kwakweli. Atahama ataenda sehemu nyingine napo atakutana na haya mambo. Si utakuwa ujinga zaidi? Changamoto haikimbiwi na mwanaume rijali.
Jamaa amwadabishe kwa vyovyote vile hata kwa nguvu za giza. Lazima tuishi kwa kueshimiana.
 
Mfanye afilisike, hata hako kakiwanja kalikobaki akauze afu aende mbali na macho yako, mwambie mganga amfanye auze eneo auchukie mkoa , aende mkoa mwingine, akapotelee huko. Akafilisike asiwahi shika Ela.
Mbinu nzuri sana hii. Lazima tuishi kwa kuheshimiana.
 
Daah nasikitika sana...
Jirani mbaya ni hatari kwa maendeleo..
 
JF bado ina baadhi ya watu wajinga mno. Kupigwa hadharani ni kosa la jinai na hakuna budi kufuata sheria. Sasa kama big thinker wa JF unasema tukutafutie mganga vipi kuhusu wale wasioijua hata JF ni nini? Wewe ukienda kwa mganga utatapeliwa pamoja na kipigo juu.
 
Hujasoma between the lines.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…