Gachuma jr
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 839
- 451
Aisee dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hana chochote tayari ni maskini any way neno langu lisichukuliwe vibaya ila hana chpochote hata kinyumba anachoishi hakina milango wala madirisha hakina umeme wala taa anategemea mwangu wa taa kutoka kwangu, kiufupi maisha yake ni bange na pombe na ubabeMfanye afilisike, hata hako kakiwanja kalikobaki akauze afu aende mbali na macho yako, mwambie mganga amfanye auze eneo auchukie mkoa , aende mkoa mwingine, akapotelee huko. Akafilisike asiwahi shika Ela.
hilo wazo lipo ila tayari kajenga mpakani fensi nitajenga kwangu pia hiyo haitanizuia kulipiza juu ya huyu mwehuKama ulipata hela ya kujenga na kununua gari,naimani huwezi kukosa hela ya kujenga ukuta,jenga ukuta mrefu upande wake alaf ishi maisha yako,hakuna haja ya kuendelea kutafuta amani na jirani mtata
logicChukua tahadhari maana kwa maelezo hayo jambo kubwa linaweza Kuja kutokea pia inaonesha huyo jamaa akili hamna hayuko civilized anatumia nguvu na uhuni wa tabia za vibaka. Jihadhari mapema kabla makubwa hayajatokea.
Usifanye hio kazi na mtu zaidi ya mmoja lazima hawo wahuni watakuja kuropoka, fanya mambo yako wewe na mganga usihusishe watu wa mtaani watakupaka tope mchana kweupe.ni sawa ila kama sio mtu wa makundi na vijiweni sana hao wahuni kuwapata ndio kipengere ila kwa kuwa mimi nahitaji kumkomesha kama unaweza kuniunganisha nao fanya hivyo
mkuu usiamini kuwa kila mtu shida yake ni pesa kama kwako ilivyo shida zinatofautiana hata ukiwa na pesa ukikosa amani ya moyo na maisha pesa zako utaziona hazina maana labda nikwambie tu mkuu sina uhitaji na pesa kwani kwa kidogo alichonijalia mwenyezimungu nashukuru na kinanitosha wewe endelea kutafta pesa kwa kuwa ndio uhitaji wako ahsanteUkosefu wa Elimu ni hatari kubwa sana.
Kwa Nini usiloge upate pesa/utajiri kama kweli huo upuuzi unasaidia?!
Mroge akuuzie ilo eneo lililobakHabari wakuu,
Haya sio masikhara nimemaanisha na nipo tayari kwa galama zozote zile na hata atakaenipa connection nikalifanikisha hili nitampa zawadi nzuri sana.
Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu, miaka 7 nyuma tumesaidiana nae mambo mengi sana miaka hiyo katika kuhustle na maisha kipindi hiko sikuwa na chochote, ila jamaa yangu alikuwa na kiwanja cha urirthi kwa wazazi wake ila kilimshinda kujenga, na alinipa wazo kuwa anatafta wa kumuuzia, nilimshauri sana asiuze ila akagoma hadi nilipomshauri aniuzie mimi mwanae.
Na hapo alinikatia kipande nikampa hela japokuwa sikuwa na hela ila nilijipiga nikauza bodaboda yangu na vitu vya ndani nikanunua kile kijisehemu kwa mwana, na hatukuuziana kishkaji nilimpa pesa aliotaka, ila kando ya yote jamaa alikuwa mtemi sana anajua mashol arts na alikuwa mwalimu wangu pia wa mashol arts japokuwa haikiuwa ile sana ila jamaa ndio michezo yake.
Baada ya mauziano yale mimi niliamua kujichanganya mtaani kivingine, Inshaallah mungu kajalia ya jana sio kama ya leo nikaanza kushusha tofari, nimejenga na Inshaallah Mungu kabariki nimepata na kausafili kidogo maisha yale tuliokuwa tunaishi na mwana yamebaki historia kwangu.
Ila cha ajabu mwana kaanza chuki za ajabu kwangu akija hata hasalimii ananipita tu, sasa juzi kati mwana nikaona kaleta tofari kama 300 hivi kajenga kichumba cha slope chumba kimoja na kakibanisha mpakani kiasi kwamba hata nikitaka kujenga fensi hapo lazima niingie kwangu, mimi nikavunga tu.
Sasa cha ajabu jana nimekuta mwamba kachimba shimo la choo dirishani kwangu kabisa na choo kafunika na mabati na magogo juu na kichumba cha udongo. Hapa uvumilivu ulinishinda nikaenda kumuuliza mwana vipi mbona unazingua?
Cha ajabu mwana kaanza kunibatukia mara hoo hela zako hazinitishi mimi, mara hoo unadharau siku hizi kisa unamiliki kinyumba na kigari na maneno kibao, nikaona nisikae kinyonge nikaamua kumpasulia mwana kuwa maisha yako unayafelisha mwenyewe kwa kutokujibidisha na kupambana na mambo yasiyo na msingi, hapo ndipo jamaa katoka kanipiga ngumi mbele ya mke wangu na watoto wangu,
Kusema kweli huyu jamaa siwezi kwenda kumshtaki maana nahisi adhabu atakayopata haitaendana na kile alichonifanyia, pia kukaa kuendesha kesi na mjinga wa aina hii nikunipotezea mda tu, Tatu ashakuwa jirani yangu kumuepuka na mavisa yake haya ni ngumu.
Maana mwana kuna kipindi wanatoa viti nje na wahuni wenzie wanaanza kunywa pombe na kunitukana kunisema kimafumbo, hakika hadi najuta kuwa na ujirani na huyu mwana, na kibaya nakumbuka ni mwana ambae tumehustle nae kitambo kiasi kwamba hata kama kuna kitu anahitaji akinifuata nitamsaidia ila yeye njia alioiamua ni kuanzisha uhasama na mimi ambao chanzo chake sikijui, na kibaya anasogeza hadi becon kwa kuamini kuwa siwezi kupigana nae kwa kuwa namjua kuwa yeye ni mtemi.
Sasa kwa haya anayonifanyia hakika mungu atanisamehe kwa maamzi haya niliyoyaamua ya kujihami nae, yaani polisi siwezi kwenda maana atajina bado ni mwamba pia atanipotezea mda, so nimeamua kujihami dhidhi yake kwa njia ya kumkomesha. na natangaza atakaenifanikishia hili nitamshukuru na kumlipa.
Wale wacha Mungu tusameheane kidogo, kila kilichopo duniani kakileta Mungu maana hakuna sehemu yaa uumbaji wa shetani hivyo hata wachawi naamini karma zao zimetoka kwa Mwenyezi Mungu ili kutusaidia sisi wanyonge tusiokuwa na nguvu, ili tupambane na hawa wababe.
Maisha ni mapambano. Uuze nyumba kwasababu ya boya mmoja fulani hivi? Hapana kwakweli. Atahama ataenda sehemu nyingine napo atakutana na haya mambo. Si utakuwa ujinga zaidi? Changamoto haikimbiwi na mwanaume rijali.Ujinga haufutwi na ujinga zaidi.
Nakushauri tafuta kwengine pa kuishi haraka iwezekanavyo, uza hapo uwr nae mbali kabisa.
Yatayokuja kukuta muda mfupi ujao kupitia kwake usije ukasema hukushauriwa la kufanya.
Mbinu nzuri sana hii. Lazima tuishi kwa kuheshimiana.Mfanye afilisike, hata hako kakiwanja kalikobaki akauze afu aende mbali na macho yako, mwambie mganga amfanye auze eneo auchukie mkoa , aende mkoa mwingine, akapotelee huko. Akafilisike asiwahi shika Ela.
UkorofiTerminator Mpauko 🤣
Kwani uongo.Ukorofi
ha ha ha afu we jamaa umenichekesha sana kwa hiyo hua unakua na namba za waganga [emoji23][emoji23]Safi sana, Huu ndio Uanaume.
Ngoja niangalie namba za waganga kama bado ninazo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utakua mlozi eeh, niifanyie mpango nipite NBC cooperate branch,nitoke na,, milioni 5 tu [emoji1787][emoji23]Unataka kumkomeshaje?kumtoa busha au aweje?
Haha njoo pm ,malipo utanipa ukishaipata hiyo ela ,sio saivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utakua mlozi eeh, niifanyie mpango nipite NBC cooperate branch,nitoke na,, milioni 5 tu [emoji1787][emoji23]
Hujasoma between the lines.Maisha ni mapambano. Uuze nyumba kwasababu ya boya mmoja fulani hivi? Hapana kwakweli. Atahama ataenda sehemu nyingine napo atakutana na haya mambo. Si utakuwa ujinga zaidi? Changamoto haikimbiwi na mwanaume rijali.
Jamaa amwadabishe kwa vyovyote vile hata kwa nguvu za giza. Lazima tuishi kwa kueshimiana.