Nahitaji kumroga mtu, aliyenipiga mbele ya mke wangu

Nahitaji kumroga mtu, aliyenipiga mbele ya mke wangu

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,498
Reaction score
4,162
Habari wakuu,

Haya sio masikhara nimemaanisha na nipo tayari kwa galama zozote zile na hata atakaenipa connection nikalifanikisha hili nitampa zawadi nzuri sana.

Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu, miaka 7 nyuma tumesaidiana nae mambo mengi sana miaka hiyo katika kuhustle na maisha kipindi hiko sikuwa na chochote, ila jamaa yangu alikuwa na kiwanja cha urirthi kwa wazazi wake ila kilimshinda kujenga, na alinipa wazo kuwa anatafta wa kumuuzia, nilimshauri sana asiuze ila akagoma hadi nilipomshauri aniuzie mimi mwanae.

Na hapo alinikatia kipande nikampa hela japokuwa sikuwa na hela ila nilijipiga nikauza bodaboda yangu na vitu vya ndani nikanunua kile kijisehemu kwa mwana, na hatukuuziana kishkaji nilimpa pesa aliotaka, ila kando ya yote jamaa alikuwa mtemi sana anajua mashol arts na alikuwa mwalimu wangu pia wa mashol arts japokuwa haikiuwa ile sana ila jamaa ndio michezo yake.

Baada ya mauziano yale mimi niliamua kujichanganya mtaani kivingine, Inshaallah mungu kajalia ya jana sio kama ya leo nikaanza kushusha tofari, nimejenga na Inshaallah Mungu kabariki nimepata na kausafili kidogo maisha yale tuliokuwa tunaishi na mwana yamebaki historia kwangu.

Ila cha ajabu mwana kaanza chuki za ajabu kwangu akija hata hasalimii ananipita tu, sasa juzi kati mwana nikaona kaleta tofari kama 300 hivi kajenga kichumba cha slope chumba kimoja na kakibanisha mpakani kiasi kwamba hata nikitaka kujenga fensi hapo lazima niingie kwangu, mimi nikavunga tu.

Sasa cha ajabu jana nimekuta mwamba kachimba shimo la choo dirishani kwangu kabisa na choo kafunika na mabati na magogo juu na kichumba cha udongo. Hapa uvumilivu ulinishinda nikaenda kumuuliza mwana vipi mbona unazingua?

Cha ajabu mwana kaanza kunibatukia mara hoo hela zako hazinitishi mimi, mara hoo unadharau siku hizi kisa unamiliki kinyumba na kigari na maneno kibao, nikaona nisikae kinyonge nikaamua kumpasulia mwana kuwa maisha yako unayafelisha mwenyewe kwa kutokujibidisha na kupambana na mambo yasiyo na msingi, hapo ndipo jamaa katoka kanipiga ngumi mbele ya mke wangu na watoto wangu,

Kusema kweli huyu jamaa siwezi kwenda kumshtaki maana nahisi adhabu atakayopata haitaendana na kile alichonifanyia, pia kukaa kuendesha kesi na mjinga wa aina hii nikunipotezea mda tu, Tatu ashakuwa jirani yangu kumuepuka na mavisa yake haya ni ngumu.

Maana mwana kuna kipindi wanatoa viti nje na wahuni wenzie wanaanza kunywa pombe na kunitukana kunisema kimafumbo, hakika hadi najuta kuwa na ujirani na huyu mwana, na kibaya nakumbuka ni mwana ambae tumehustle nae kitambo kiasi kwamba hata kama kuna kitu anahitaji akinifuata nitamsaidia ila yeye njia alioiamua ni kuanzisha uhasama na mimi ambao chanzo chake sikijui, na kibaya anasogeza hadi becon kwa kuamini kuwa siwezi kupigana nae kwa kuwa namjua kuwa yeye ni mtemi.

Sasa kwa haya anayonifanyia hakika mungu atanisamehe kwa maamzi haya niliyoyaamua ya kujihami nae, yaani polisi siwezi kwenda maana atajina bado ni mwamba pia atanipotezea mda, so nimeamua kujihami dhidhi yake kwa njia ya kumkomesha. na natangaza atakaenifanikishia hili nitamshukuru na kumlipa.

Wale wacha Mungu tusameheane kidogo, kila kilichopo duniani kakileta Mungu maana hakuna sehemu yaa uumbaji wa shetani hivyo hata wachawi naamini karma zao zimetoka kwa Mwenyezi Mungu ili kutusaidia sisi wanyonge tusiokuwa na nguvu, ili tupambane na hawa wababe.
 
Habari wakuu, haya sio masikhara nimemaanisha na nipo tayari kwa galama zozote zile na hata atakaenipa connection nikalifanikisha hili nitampa zawadi nzuri sana,
Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu miaka 7 nyuma tumesaidiana nae mambo mengi sana miaka hiyo katika kuhasol na
We mjinga Sana huna kitu kichwani that way umepigwa ngumi yaani unawaza uchawi karne hii 21 badala ya kumtegemea Mungu what fucking life unaishi!?
 
Kweli mwamba una "hasol".
Humu ndani wazee wa kilinge ni Mshana Jr na Kizibo ..
Screenshot_20220903-231109_Quora.jpg

Kama nakuona ulivopigwa kata funuA
 
We mjinga Sana huna kitu kichwani that way umepigwa ngumi yaani unawaza uchawi karne hii 21 badala ya kumtegemea Mungu what fucking life unaishi!?
Sawa mkuu bora ungekaa kimya maana kama unaweza kuchangia katika post ya mjinga na wewe yawezekana ukawa mmoja wao wajanja weznio wamepita kimyakimya tu
 
Habari wakuu, haya sio masikhara nimemaanisha na nipo tayari kwa galama zozote zile na hata atakaenipa connection nikalifanikisha hili nitampa zawadi nzuri sana,
Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu miaka 7 nyuma tumesaidiana nae mambo mengi sana miaka hiyo katika kuhasol na maisha kipindi hiko sikuwa na chochote, ila jamaa angu alikuwa na kiwanja cha urirthi kwa wazazi wake ila kilimshinda kujenga, na alinipa wazo kuwa anatafta wa kumuuzia, nilimshauri sana asiuze ila akagoma hadi nilipomshauri aniuzie mimi mwanae, na hapo alinikatia kipande nikampa hela japokuwa sikuwa na hela ila nilijipiga nikauza bodaboda yangu na vitu vya ndani nikanunua kile kijisehemu kwa mwana, na hatukuuziana kishkaji nilimpa pesa aliotaka, ila kando ya yote jamaa alikuwa mtemi sana anajua mashol arts na alikuwa mwalimu wangu pia wa mashol arts japokuwa haikiuwa ile sana ila jamaa ndio michezo yake,

Baada ya mauziano yale mimi niliamua kujichanganya mtaani kivingine ishanlah mungu kajalia ya jana sio kama ya leo nikaanza kushusha tofari, nimejenga na ishanlah mungu kabariki nimepata na kausafili kidogo maisha yale tuliokuwa tunaishi na mwana yamebaki historia kwangu, ila cha ajabu mwana kaanza chuki za ajabu kwangu akija hata hasalimii ananipita tu, sasa juzi kati mwana nikaona kaleta tofari kama 300 hivi kajenga kichumba cha slope chumba kimoja na kakibanisha mpakani kiasi kwamba hata nikitaka kujenga fensi hapo lazima niingie kwangu, mimi nikavunga tu, sasa cha ajabu jana nimekuta mwamba kachimba shimo la choo dirishani kwangu, kabisa na choo kafunika na mabati na magogo juu na kichumba cha udongo, hapa uvumilivu ulinishinda nikaenda kumuuliza mwana vipi mbona unazingua, cha ajabu mwana kaanza kunibatukia mara hoo hela zako hazinitishi mimi, mara hoo unadharau siku hizi kisa unamiliki kinyumba na kigari na maneno kibao, nikaona nisikae kinyonge nikaamua kumpasulia mwana kuwa maisha yako unayafelisha mwenyewe kwa kutokujibidisha na kupambana na mambo yasiyo na msingi, hapo ndipo jamaa katoka kanipiga ngumi mbele ya mke wangu na watoto wangu,

kusema kweli huyu jamaa siwezi kwenda kumshtaki maana nahisi adhabu atakayopata haitaendana na kile alichonifanyia, pia kukaa kuendesha kesi na mjinga wa aina hii nikunipotezea mda tu, Tatu ashakuwa jirani yangu kumuepuka na mavisa yake haya ni ngumu, maana mwana kuna kipindi wanatoa viti nje na wahuni wenzie wanaanza kunywa pombe na kunitukana kunisema kimafumbo, hakika hadi najuta kuwa na ujirani na huyu mwana, na kibaya nakumbuka ni mwana ambae tumehasol nae kitambo kiasi kwamba hata kama kuna kitu anaitaji akinifuata nitamsaidia ila yy njia alioiamua ni kuanzisha uhasama na mimi ambao chanzo chake sikijui, na kibaya anasogeza hadi becon kwa kuamini kuwa siwezi kupigana nae kwa kuwa namjua kuwa yy ni mtemi,
Sasa kwa haya anayonifanyia hakika mungu atanisamehe kwa maamzi haya niliyoyaamua ya kujihami nae, yaani polisi siwezi kwenda maana atajina bado ni mwamba pia atanipotezea mda, so nimeamua kujihami dhidhi yake kwa njia ya kumkomesha. na natangaza atakaenifanikishia hili nitamshukuru na kumlipa. WALE WACHA MUNGU TUSAMEHEANE KIDOGO, KILA KILICHOPO DUNIANI KAKILETA MUNGU MAANA HAKUNA SEHEMU YAA UUMBAJI WA SHETANI HIVYO HATA WACHAWI NAAMINI KARMA ZAO ZIMETOKA KWA MWENYEZIMUNGU ILI KUTUSAIDIA SISI WANYONGE TUSIOKUWA NA NGUVU, ILI TUPAMBANE NA HAWA WABABE.
Acha upopoma wewe utapigwaje mbele ya mkeo?
 
Acha upopoma wewe utapigwaje mbele ya mkeo?
mmh hapa kwenye keybord kila mtu anajikuta mywetha na tyson ila live mnapasuliwa vzuri tu, katka maisha kama tunavyozidiana vipato na uelewa the same hata katika nguvu tunazidiana so kupasuliwa kawaida tu cha msingi kama unaweza kupigana njoo upigane nae ukimshinda na kumfundisha adabu ndio kimsingi ndio napambania hapa ili apate nitakulipa mkuu kidogo cha shukran
 
K
Habari wakuu,

Haya sio masikhara nimemaanisha na nipo tayari kwa galama zozote zile na hata atakaenipa connection nikalifanikisha hili nitampa zawadi nzuri sana.

Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu miaka 7 nyuma tumesaidiana nae mambo mengi sana miaka hiyo katika kuhasol na maisha kipindi hiko sikuwa na chochote, ila jamaa angu alikuwa na kiwanja cha urirthi kwa wazazi wake ila kilimshinda kujenga, na alinipa wazo kuwa anatafta wa kumuuzia, nilimshauri sana asiuze ila akagoma hadi nilipomshauri aniuzie mimi mwanae, na hapo alinikatia kipande nikampa hela japokuwa sikuwa na hela ila nilijipiga nikauza bodaboda yangu na vitu vya ndani nikanunua kile kijisehemu kwa mwana, na hatukuuziana kishkaji nilimpa pesa aliotaka, ila kando ya yote jamaa alikuwa mtemi sana anajua mashol arts na alikuwa mwalimu wangu pia wa mashol arts japokuwa haikiuwa ile sana ila jamaa ndio michezo yake.

Baada ya mauziano yale mimi niliamua kujichanganya mtaani kivingine ishanlah mungu kajalia ya jana sio kama ya leo nikaanza kushusha tofari, nimejenga na ishanlah mungu kabariki nimepata na kausafili kidogo maisha yale tuliokuwa tunaishi na mwana yamebaki historia kwangu, ila cha ajabu mwana kaanza chuki za ajabu kwangu akija hata hasalimii ananipita tu, sasa juzi kati mwana nikaona kaleta tofari kama 300 hivi kajenga kichumba cha slope chumba kimoja na kakibanisha mpakani kiasi kwamba hata nikitaka kujenga fensi hapo lazima niingie kwangu, mimi nikavunga tu.

Sasa cha ajabu jana nimekuta mwamba kachimba shimo la choo dirishani kwangu, kabisa na choo kafunika na mabati na magogo juu na kichumba cha udongo, hapa uvumilivu ulinishinda nikaenda kumuuliza mwana vipi mbona unazingua, cha ajabu mwana kaanza kunibatukia mara hoo hela zako hazinitishi mimi, mara hoo unadharau siku hizi kisa unamiliki kinyumba na kigari na maneno kibao, nikaona nisikae kinyonge nikaamua kumpasulia mwana kuwa maisha yako unayafelisha mwenyewe kwa kutokujibidisha na kupambana na mambo yasiyo na msingi, hapo ndipo jamaa katoka kanipiga ngumi mbele ya mke wangu na watoto wangu,

Kusema kweli huyu jamaa siwezi kwenda kumshtaki maana nahisi adhabu atakayopata haitaendana na kile alichonifanyia, pia kukaa kuendesha kesi na mjinga wa aina hii nikunipotezea mda tu, Tatu ashakuwa jirani yangu kumuepuka na mavisa yake haya ni ngumu, maana mwana kuna kipindi wanatoa viti nje na wahuni wenzie wanaanza kunywa pombe na kunitukana kunisema kimafumbo, hakika hadi najuta kuwa na ujirani na huyu mwana, na kibaya nakumbuka ni mwana ambae tumehasol nae kitambo kiasi kwamba hata kama kuna kitu anaitaji akinifuata nitamsaidia ila yy njia alioiamua ni kuanzisha uhasama na mimi ambao chanzo chake sikijui, na kibaya anasogeza hadi becon kwa kuamini kuwa siwezi kupigana nae kwa kuwa namjua kuwa yy ni mtemi,

Sasa kwa haya anayonifanyia hakika mungu atanisamehe kwa maamzi haya niliyoyaamua ya kujihami nae, yaani polisi siwezi kwenda maana atajina bado ni mwamba pia atanipotezea mda, so nimeamua kujihami dhidhi yake kwa njia ya kumkomesha. na natangaza atakaenifanikishia hili nitamshukuru na kumlipa. WALE WACHA MUNGU TUSAMEHEANE KIDOGO, KILA KILICHOPO DUNIANI KAKILETA MUNGU MAANA HAKUNA SEHEMU YAA UUMBAJI WA SHETANI HIVYO HATA WACHAWI NAAMINI KARMA ZAO ZIMETOKA KWA MWENYEZIMUNGU ILI KUTUSAIDIA SISI WANYONGE TUSIOKUWA NA NGUVU, ILI TUPAMBANE NA HAWA WABABE.
Kama mbwai mbwai tu 😅😅😅😅
 
Habari wakuu, haya sio masikhara nimemaanisha na nipo tayari kwa galama zozote zile na hata atakaenipa connection nikalifanikisha hili nitampa zawadi nzuri sana,
Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu miaka 7 nyuma tumesaidiana nae mambo mengi sana miaka hiyo katika kuhasol na maisha kipindi hiko sikuwa na chochote, ila jamaa angu alikuwa na kiwanja cha urirthi kwa wazazi wake ila kilimshinda kujenga, na alinipa wazo kuwa anatafta wa kumuuzia, nilimshauri sana asiuze ila akagoma hadi nilipomshauri aniuzie mimi mwanae, na hapo alinikatia kipande nikampa hela japokuwa sikuwa na hela ila nilijipiga nikauza bodaboda yangu na vitu vya ndani nikanunua kile kijisehemu kwa mwana, na hatukuuziana kishkaji nilimpa pesa aliotaka, ila kando ya yote jamaa alikuwa mtemi sana anajua mashol arts na alikuwa mwalimu wangu pia wa mashol arts japokuwa haikiuwa ile sana ila jamaa ndio michezo yake,

Baada ya mauziano yale mimi niliamua kujichanganya mtaani kivingine ishanlah mungu kajalia ya jana sio kama ya leo nikaanza kushusha tofari, nimejenga na ishanlah mungu kabariki nimepata na kausafili kidogo maisha yale tuliokuwa tunaishi na mwana yamebaki historia kwangu, ila cha ajabu mwana kaanza chuki za ajabu kwangu akija hata hasalimii ananipita tu, sasa juzi kati mwana nikaona kaleta tofari kama 300 hivi kajenga kichumba cha slope chumba kimoja na kakibanisha mpakani kiasi kwamba hata nikitaka kujenga fensi hapo lazima niingie kwangu, mimi nikavunga tu, sasa cha ajabu jana nimekuta mwamba kachimba shimo la choo dirishani kwangu, kabisa na choo kafunika na mabati na magogo juu na kichumba cha udongo, hapa uvumilivu ulinishinda nikaenda kumuuliza mwana vipi mbona unazingua, cha ajabu mwana kaanza kunibatukia mara hoo hela zako hazinitishi mimi, mara hoo unadharau siku hizi kisa unamiliki kinyumba na kigari na maneno kibao, nikaona nisikae kinyonge nikaamua kumpasulia mwana kuwa maisha yako unayafelisha mwenyewe kwa kutokujibidisha na kupambana na mambo yasiyo na msingi, hapo ndipo jamaa katoka kanipiga ngumi mbele ya mke wangu na watoto wangu,

kusema kweli huyu jamaa siwezi kwenda kumshtaki maana nahisi adhabu atakayopata haitaendana na kile alichonifanyia, pia kukaa kuendesha kesi na mjinga wa aina hii nikunipotezea mda tu, Tatu ashakuwa jirani yangu kumuepuka na mavisa yake haya ni ngumu, maana mwana kuna kipindi wanatoa viti nje na wahuni wenzie wanaanza kunywa pombe na kunitukana kunisema kimafumbo, hakika hadi najuta kuwa na ujirani na huyu mwana, na kibaya nakumbuka ni mwana ambae tumehasol nae kitambo kiasi kwamba hata kama kuna kitu anaitaji akinifuata nitamsaidia ila yy njia alioiamua ni kuanzisha uhasama na mimi ambao chanzo chake sikijui, na kibaya anasogeza hadi becon kwa kuamini kuwa siwezi kupigana nae kwa kuwa namjua kuwa yy ni mtemi,
Sasa kwa haya anayonifanyia hakika mungu atanisamehe kwa maamzi haya niliyoyaamua ya kujihami nae, yaani polisi siwezi kwenda maana atajina bado ni mwamba pia atanipotezea mda, so nimeamua kujihami dhidhi yake kwa njia ya kumkomesha. na natangaza atakaenifanikishia hili nitamshukuru na kumlipa. WALE WACHA MUNGU TUSAMEHEANE KIDOGO, KILA KILICHOPO DUNIANI KAKILETA MUNGU MAANA HAKUNA SEHEMU YAA UUMBAJI WA SHETANI HIVYO HATA WACHAWI NAAMINI KARMA ZAO ZIMETOKA KWA MWENYEZIMUNGU ILI KUTUSAIDIA SISI WANYONGE TUSIOKUWA NA NGUVU, ILI TUPAMBANE NA HAWA WABABE.
Pole sana mkuu kwa hayo masahibu, kujua martial arts haikufanyi uvunje sheria na kuwaonea wanyonge.

Alipokupiga ngumi ulitakiwa uende polisi kushitaki, huyo angeitwa kituoni, angekaidi basi polisi wangekushirikisha ili achorewe mtego alafu akamatwe. Baada ya hapo utaamua kama kumsamehe au ufungue kesi iende mahakamani.

Kuhusu kuchimba shimo la choo... Lipo kwake au ndani ya kiwanja chako?

Sikushauri kwa hili la kutafuta mtaalamu kumroga maana utaishia kutapeliwa tu
 
Back
Top Bottom