Nahitaji kumroga mtu, aliyenipiga mbele ya mke wangu

Huna haja ya kumua nenda hapo Tanga kwa Mzee mmoja anaitwa Shehanga anampiga kipapai cha jini anakuwa bwabwa... anabadili na jina anaitwa anti... unakuwa unapishana nae kanyuka zake wanja kiblause na sikuna anakurembulia unampa shit. Hapo ni kisasi komesha. Kuna mmoja alijitia kula hela ya husler sasa havi anaitwa Ant Masawe.
Hii nimeipenda. Kuna boya mmoja namtafutia connection km hii. Hawezi kula hela ya mwanaume akabaki salama
 
Habari wakuu,

Haya sio masikhara nimemaanisha na nipo tayari kwa galama zozote zile na hata atakaenipa connection nikalifanikisha hili nitampa zawadi nzuri sana.

Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu, miaka 7 nyuma tumesaidiana nae mambo mengi sana miaka hiyo katika kuhustle na maisha kipindi hiko sikuwa na chochote, ila jamaa yangu alikuwa na kiwanja cha urirthi kwa wazazi wake ila kilimshinda kujenga, na alinipa wazo kuwa anatafta wa kumuuzia, nilimshauri sana asiuze ila akagoma hadi nilipomshauri aniuzie mimi mwanae.

Na hapo alinikatia kipande nikampa hela japokuwa sikuwa na hela ila nilijipiga nikauza bodaboda yangu na vitu vya ndani nikanunua kile kijisehemu kwa mwana, na hatukuuziana kishkaji nilimpa pesa aliotaka, ila kando ya yote jamaa alikuwa mtemi sana anajua mashol arts na alikuwa mwalimu wangu pia wa mashol arts japokuwa haikiuwa ile sana ila jamaa ndio michezo yake.

Baada ya mauziano yale mimi niliamua kujichanganya mtaani kivingine, Inshaallah mungu kajalia ya jana sio kama ya leo nikaanza kushusha tofari, nimejenga na Inshaallah Mungu kabariki nimepata na kausafili kidogo maisha yale tuliokuwa tunaishi na mwana yamebaki historia kwangu.

Ila cha ajabu mwana kaanza chuki za ajabu kwangu akija hata hasalimii ananipita tu, sasa juzi kati mwana nikaona kaleta tofari kama 300 hivi kajenga kichumba cha slope chumba kimoja na kakibanisha mpakani kiasi kwamba hata nikitaka kujenga fensi hapo lazima niingie kwangu, mimi nikavunga tu.

Sasa cha ajabu jana nimekuta mwamba kachimba shimo la choo dirishani kwangu kabisa na choo kafunika na mabati na magogo juu na kichumba cha udongo. Hapa uvumilivu ulinishinda nikaenda kumuuliza mwana vipi mbona unazingua?

Cha ajabu mwana kaanza kunibatukia mara hoo hela zako hazinitishi mimi, mara hoo unadharau siku hizi kisa unamiliki kinyumba na kigari na maneno kibao, nikaona nisikae kinyonge nikaamua kumpasulia mwana kuwa maisha yako unayafelisha mwenyewe kwa kutokujibidisha na kupambana na mambo yasiyo na msingi, hapo ndipo jamaa katoka kanipiga ngumi mbele ya mke wangu na watoto wangu,

Kusema kweli huyu jamaa siwezi kwenda kumshtaki maana nahisi adhabu atakayopata haitaendana na kile alichonifanyia, pia kukaa kuendesha kesi na mjinga wa aina hii nikunipotezea mda tu, Tatu ashakuwa jirani yangu kumuepuka na mavisa yake haya ni ngumu.

Maana mwana kuna kipindi wanatoa viti nje na wahuni wenzie wanaanza kunywa pombe na kunitukana kunisema kimafumbo, hakika hadi najuta kuwa na ujirani na huyu mwana, na kibaya nakumbuka ni mwana ambae tumehustle nae kitambo kiasi kwamba hata kama kuna kitu anahitaji akinifuata nitamsaidia ila yeye njia alioiamua ni kuanzisha uhasama na mimi ambao chanzo chake sikijui, na kibaya anasogeza hadi becon kwa kuamini kuwa siwezi kupigana nae kwa kuwa namjua kuwa yeye ni mtemi.

Sasa kwa haya anayonifanyia hakika mungu atanisamehe kwa maamzi haya niliyoyaamua ya kujihami nae, yaani polisi siwezi kwenda maana atajina bado ni mwamba pia atanipotezea mda, so nimeamua kujihami dhidhi yake kwa njia ya kumkomesha. na natangaza atakaenifanikishia hili nitamshukuru na kumlipa.

Wale wacha Mungu tusameheane kidogo, kila kilichopo duniani kakileta Mungu maana hakuna sehemu yaa uumbaji wa shetani hivyo hata wachawi naamini karma zao zimetoka kwa Mwenyezi Mungu ili kutusaidia sisi wanyonge tusiokuwa na nguvu, ili tupambane na hawa wababe.
....Achana Naye. Hama....
 
Ujinga haufutwi na ujinga zaidi.

Nakushauri tafuta kwengine pa kuishi haraka iwezekanavyo, uza hapo uwr nae mbali kabisa.

Yatayokuja kukuta muda mfupi ujao kupitia kwake usije ukasema hukushauriwa la kufanya.
 
Nyani Ngabu Kiranga tumwambie ukweli kama uchawi haupo au tuache😀
 
Duc in altum
 
Muhimu kutoa taarifa serikalini. Ni jirani yako na hapo ndio kwako, leo ngumi, unajua na yeye ana mpango gani juu yako? Chukua tahadhari!
 
mmh hapa kwenye keybord kila mtu anajikuta mywetha na tyson ila live mnapasuliwa vzuri tu, katka maisha kama tunavyozidiana vipato na uelewa the same hata katika nguvu tunazidiana so kupasuliwa kawaida tu cha msingi kama unaweza kupigana njoo upigane nae ukimshinda na kumfundisha adabu ndio kimsingi ndio napambania hapa ili apate nitakulipa mkuu kidogo cha shukran
Mzee kinyonge sana bhana,nyumbani kwangu?mbele ya mke na watoto??hana hata sehem ya kungata ukamuachia kovu la maisha?
 
Mfanye afilisike, hata hako kakiwanja kalikobaki akauze afu aende mbali na macho yako, mwambie mganga amfanye auze eneo auchukie mkoa , aende mkoa mwingine, akapotelee huko. Akafilisike asiwahi shika Ela.
 
Habari wakuu,

Haya sio masikhara nimemaanisha na nipo tayari kwa galama zozote zile na hata atakaenipa connection nikalifanikisha hili nitampa zawadi nzuri sana.

Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu, miaka 7 nyuma tumesaidiana nae mambo mengi sana miaka hiyo katika kuhustle na maisha kipindi hiko sikuwa na chochote, ila jamaa yangu alikuwa na kiwanja cha urirthi kwa wazazi wake ila kilimshinda kujenga, na alinipa wazo kuwa anatafta wa kumuuzia, nilimshauri sana asiuze ila akagoma hadi nilipomshauri aniuzie mimi mwanae.

Na hapo alinikatia kipande nikampa hela japokuwa sikuwa na hela ila nilijipiga nikauza bodaboda yangu na vitu vya ndani nikanunua kile kijisehemu kwa mwana, na hatukuuziana kishkaji nilimpa pesa aliotaka, ila kando ya yote jamaa alikuwa mtemi sana anajua mashol arts na alikuwa mwalimu wangu pia wa mashol arts japokuwa haikiuwa ile sana ila jamaa ndio michezo yake.

Baada ya mauziano yale mimi niliamua kujichanganya mtaani kivingine, Inshaallah mungu kajalia ya jana sio kama ya leo nikaanza kushusha tofari, nimejenga na Inshaallah Mungu kabariki nimepata na kausafili kidogo maisha yale tuliokuwa tunaishi na mwana yamebaki historia kwangu.

Ila cha ajabu mwana kaanza chuki za ajabu kwangu akija hata hasalimii ananipita tu, sasa juzi kati mwana nikaona kaleta tofari kama 300 hivi kajenga kichumba cha slope chumba kimoja na kakibanisha mpakani kiasi kwamba hata nikitaka kujenga fensi hapo lazima niingie kwangu, mimi nikavunga tu.

Sasa cha ajabu jana nimekuta mwamba kachimba shimo la choo dirishani kwangu kabisa na choo kafunika na mabati na magogo juu na kichumba cha udongo. Hapa uvumilivu ulinishinda nikaenda kumuuliza mwana vipi mbona unazingua?

Cha ajabu mwana kaanza kunibatukia mara hoo hela zako hazinitishi mimi, mara hoo unadharau siku hizi kisa unamiliki kinyumba na kigari na maneno kibao, nikaona nisikae kinyonge nikaamua kumpasulia mwana kuwa maisha yako unayafelisha mwenyewe kwa kutokujibidisha na kupambana na mambo yasiyo na msingi, hapo ndipo jamaa katoka kanipiga ngumi mbele ya mke wangu na watoto wangu,

Kusema kweli huyu jamaa siwezi kwenda kumshtaki maana nahisi adhabu atakayopata haitaendana na kile alichonifanyia, pia kukaa kuendesha kesi na mjinga wa aina hii nikunipotezea mda tu, Tatu ashakuwa jirani yangu kumuepuka na mavisa yake haya ni ngumu.

Maana mwana kuna kipindi wanatoa viti nje na wahuni wenzie wanaanza kunywa pombe na kunitukana kunisema kimafumbo, hakika hadi najuta kuwa na ujirani na huyu mwana, na kibaya nakumbuka ni mwana ambae tumehustle nae kitambo kiasi kwamba hata kama kuna kitu anahitaji akinifuata nitamsaidia ila yeye njia alioiamua ni kuanzisha uhasama na mimi ambao chanzo chake sikijui, na kibaya anasogeza hadi becon kwa kuamini kuwa siwezi kupigana nae kwa kuwa namjua kuwa yeye ni mtemi.

Sasa kwa haya anayonifanyia hakika mungu atanisamehe kwa maamzi haya niliyoyaamua ya kujihami nae, yaani polisi siwezi kwenda maana atajina bado ni mwamba pia atanipotezea mda, so nimeamua kujihami dhidhi yake kwa njia ya kumkomesha. na natangaza atakaenifanikishia hili nitamshukuru na kumlipa.

Wale wacha Mungu tusameheane kidogo, kila kilichopo duniani kakileta Mungu maana hakuna sehemu yaa uumbaji wa shetani hivyo hata wachawi naamini karma zao zimetoka kwa Mwenyezi Mungu ili kutusaidia sisi wanyonge tusiokuwa na nguvu, ili tupambane na hawa wababe.
Kama ulipata hela ya kujenga na kununua gari,naimani huwezi kukosa hela ya kujenga ukuta,jenga ukuta mrefu upande wake alaf ishi maisha yako,hakuna haja ya kuendelea kutafuta amani na jirani mtata
 
Tafuta maaskari feki kwanza waje wakusafishe mbele ya familia kwa kukukamata mbele ya mke wako na watoto huku wanakugombeza kwa kukwambia "kwanini umempigwa mwamba mwalimu wa martial arts? Tena umemuumiza sana?" Alafu we ujibu "afande fujo alianza yeye Mimi kumtengua mkono nimelipiza tu kisasi"

Fanya hivyo ili kujisafisha familia ijue na wewe ni mbabe laa sivyo hata akitokea mende ndani na wewe upo mke wako ataenda kumuita mwanaume wa nyumba ya jirani aje aue mende kwakua anajua mume wake ni muoga
 
Kuna washkaji wengine ukiwazidi maisha kidogo ni nongwa.huyo mwamba anakuchukia kwa sababu una mzidi mlo you hakuna kingine

Kifupi jamaa ana husda na ww anatamani Leo kesho ufue muwe wote level sawa.

Achana nae mfungie vioo .piga ukuta hapo kwako hata kama sehemu ni ndogo.
 
Back
Top Bottom