Nahitaji kumroga mtu, aliyenipiga mbele ya mke wangu

We ushasema ni mcheza ngumi na mateke na ushamuona ana hasira halafu unapayukiana nae mbele ya mkeo.
 
Habari wakuu,

Haya sio masikhara nimemaanisha na nipo tayari kwa galama zozote zile na hata atakaenipa connection nikalifanikisha hili nitampa zawadi nzuri sana.

Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu, miaka 7 nyuma tumesaidiana nae mambo mengi sana miaka hiyo katika kuhustle na maisha kipindi hiko sikuwa na chochote, ila jamaa yangu alikuwa na kiwanja cha urirthi kwa wazazi wake ila kilimshinda kujenga, na alinipa wazo kuwa anatafta wa kumuuzia, nilimshauri sana asiuze ila akagoma hadi nilipomshauri aniuzie mimi mwanae.

Na hapo alinikatia kipande nikampa hela japokuwa sikuwa na hela ila nilijipiga nikauza bodaboda yangu na vitu vya ndani nikanunua kile kijisehemu kwa mwana, na hatukuuziana kishkaji nilimpa pesa aliotaka, ila kando ya yote jamaa alikuwa mtemi sana anajua mashol arts na alikuwa mwalimu wangu pia wa mashol arts japokuwa haikiuwa ile sana ila jamaa ndio michezo yake.

Baada ya mauziano yale mimi niliamua kujichanganya mtaani kivingine, Inshaallah mungu kajalia ya jana sio kama ya leo nikaanza kushusha tofari, nimejenga na Inshaallah Mungu kabariki nimepata na kausafili kidogo maisha yale tuliokuwa tunaishi na mwana yamebaki historia kwangu.

Ila cha ajabu mwana kaanza chuki za ajabu kwangu akija hata hasalimii ananipita tu, sasa juzi kati mwana nikaona kaleta tofari kama 300 hivi kajenga kichumba cha slope chumba kimoja na kakibanisha mpakani kiasi kwamba hata nikitaka kujenga fensi hapo lazima niingie kwangu, mimi nikavunga tu.

Sasa cha ajabu jana nimekuta mwamba kachimba shimo la choo dirishani kwangu kabisa na choo kafunika na mabati na magogo juu na kichumba cha udongo. Hapa uvumilivu ulinishinda nikaenda kumuuliza mwana vipi mbona unazingua?

Cha ajabu mwana kaanza kunibatukia mara hoo hela zako hazinitishi mimi, mara hoo unadharau siku hizi kisa unamiliki kinyumba na kigari na maneno kibao, nikaona nisikae kinyonge nikaamua kumpasulia mwana kuwa maisha yako unayafelisha mwenyewe kwa kutokujibidisha na kupambana na mambo yasiyo na msingi, hapo ndipo jamaa katoka kanipiga ngumi mbele ya mke wangu na watoto wangu,

Kusema kweli huyu jamaa siwezi kwenda kumshtaki maana nahisi adhabu atakayopata haitaendana na kile alichonifanyia, pia kukaa kuendesha kesi na mjinga wa aina hii nikunipotezea mda tu, Tatu ashakuwa jirani yangu kumuepuka na mavisa yake haya ni ngumu.

Maana mwana kuna kipindi wanatoa viti nje na wahuni wenzie wanaanza kunywa pombe na kunitukana kunisema kimafumbo, hakika hadi najuta kuwa na ujirani na huyu mwana, na kibaya nakumbuka ni mwana ambae tumehustle nae kitambo kiasi kwamba hata kama kuna kitu anahitaji akinifuata nitamsaidia ila yeye njia alioiamua ni kuanzisha uhasama na mimi ambao chanzo chake sikijui, na kibaya anasogeza hadi becon kwa kuamini kuwa siwezi kupigana nae kwa kuwa namjua kuwa yeye ni mtemi.

Sasa kwa haya anayonifanyia hakika mungu atanisamehe kwa maamzi haya niliyoyaamua ya kujihami nae, yaani polisi siwezi kwenda maana atajina bado ni mwamba pia atanipotezea mda, so nimeamua kujihami dhidhi yake kwa njia ya kumkomesha. na natangaza atakaenifanikishia hili nitamshukuru na kumlipa.

Wale wacha Mungu tusameheane kidogo, kila kilichopo duniani kakileta Mungu maana hakuna sehemu yaa uumbaji wa shetani hivyo hata wachawi naamini karma zao zimetoka kwa Mwenyezi Mungu ili kutusaidia sisi wanyonge tusiokuwa na nguvu, ili tupambane na hawa wababe.
Usimuue Kuna watalaamu kibao tu wanamtengeneza anahama mwenyewe tena kiwanja anakuachia kabisa,Jiongezee
 
Huy mwana maskani yake kubwa ni wapi ? Nataka nikaununue ugomvi
 
Njoo pm nikupe options za kujaribu. Nasema kujaribu kqa sababu nazijua lakini sijawahi kuzitest.

Option 1
Tafuta viatu alivyowahi kutumia (viatu au ndala au sandals)

Option 2
Tafuta picha yake inayomuonesha full, tafuta na manyoya ma5 bawa la kushoto la bata mzinga.

Maelezo yake full njoo pm BURE
 
😂😂😂Dada lazima alifanya Jambo!
Kunasiku tulienda kijijini familia nzima, sasa kuna kikao cha ukoo kilifanyika kisha kuna ndugu akawa kama anamsema mzee wetu kwa mafumbo flani hivi.... basi sister alisbindwa kuvumilia alimrukia yule jamaa head moja matata...🤣🤣 basi mimi nikawa nime simama nikajiweka kwa utayari wa vita aiseee....😂😂 watu wote walituliaaaaa kana kwamba hakuna kilicho tokea....😜😜
 
Habari wakuu,

Haya sio masikhara nimemaanisha na nipo tayari kwa galama zozote zile na hata atakaenipa connection nikalifanikisha hili nitampa zawadi nzuri sana.

Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu, miaka 7 nyuma tumesaidiana nae mambo mengi sana miaka hiyo katika kuhustle na maisha kipindi hiko sikuwa na chochote, ila jamaa yangu alikuwa na kiwanja cha urirthi kwa wazazi wake ila kilimshinda kujenga, na alinipa wazo kuwa anatafta wa kumuuzia, nilimshauri sana asiuze ila akagoma hadi nilipomshauri aniuzie mimi mwanae.

Na hapo alinikatia kipande nikampa hela japokuwa sikuwa na hela ila nilijipiga nikauza bodaboda yangu na vitu vya ndani nikanunua kile kijisehemu kwa mwana, na hatukuuziana kishkaji nilimpa pesa aliotaka, ila kando ya yote jamaa alikuwa mtemi sana anajua mashol arts na alikuwa mwalimu wangu pia wa mashol arts japokuwa haikiuwa ile sana ila jamaa ndio michezo yake.

Baada ya mauziano yale mimi niliamua kujichanganya mtaani kivingine, Inshaallah mungu kajalia ya jana sio kama ya leo nikaanza kushusha tofari, nimejenga na Inshaallah Mungu kabariki nimepata na kausafili kidogo maisha yale tuliokuwa tunaishi na mwana yamebaki historia kwangu.

Ila cha ajabu mwana kaanza chuki za ajabu kwangu akija hata hasalimii ananipita tu, sasa juzi kati mwana nikaona kaleta tofari kama 300 hivi kajenga kichumba cha slope chumba kimoja na kakibanisha mpakani kiasi kwamba hata nikitaka kujenga fensi hapo lazima niingie kwangu, mimi nikavunga tu.

Sasa cha ajabu jana nimekuta mwamba kachimba shimo la choo dirishani kwangu kabisa na choo kafunika na mabati na magogo juu na kichumba cha udongo. Hapa uvumilivu ulinishinda nikaenda kumuuliza mwana vipi mbona unazingua?

Cha ajabu mwana kaanza kunibatukia mara hoo hela zako hazinitishi mimi, mara hoo unadharau siku hizi kisa unamiliki kinyumba na kigari na maneno kibao, nikaona nisikae kinyonge nikaamua kumpasulia mwana kuwa maisha yako unayafelisha mwenyewe kwa kutokujibidisha na kupambana na mambo yasiyo na msingi, hapo ndipo jamaa katoka kanipiga ngumi mbele ya mke wangu na watoto wangu,

Kusema kweli huyu jamaa siwezi kwenda kumshtaki maana nahisi adhabu atakayopata haitaendana na kile alichonifanyia, pia kukaa kuendesha kesi na mjinga wa aina hii nikunipotezea mda tu, Tatu ashakuwa jirani yangu kumuepuka na mavisa yake haya ni ngumu.

Maana mwana kuna kipindi wanatoa viti nje na wahuni wenzie wanaanza kunywa pombe na kunitukana kunisema kimafumbo, hakika hadi najuta kuwa na ujirani na huyu mwana, na kibaya nakumbuka ni mwana ambae tumehustle nae kitambo kiasi kwamba hata kama kuna kitu anahitaji akinifuata nitamsaidia ila yeye njia alioiamua ni kuanzisha uhasama na mimi ambao chanzo chake sikijui, na kibaya anasogeza hadi becon kwa kuamini kuwa siwezi kupigana nae kwa kuwa namjua kuwa yeye ni mtemi.

Sasa kwa haya anayonifanyia hakika mungu atanisamehe kwa maamzi haya niliyoyaamua ya kujihami nae, yaani polisi siwezi kwenda maana atajina bado ni mwamba pia atanipotezea mda, so nimeamua kujihami dhidhi yake kwa njia ya kumkomesha. na natangaza atakaenifanikishia hili nitamshukuru na kumlipa.

Wale wacha Mungu tusameheane kidogo, kila kilichopo duniani kakileta Mungu maana hakuna sehemu yaa uumbaji wa shetani hivyo hata wachawi naamini karma zao zimetoka kwa Mwenyezi Mungu ili kutusaidia sisi wanyonge tusiokuwa na nguvu, ili tupambane na hawa wababe.
Huyo ni mswahili na inaonekana ni mshirikina pia. Unaweza kumdhuru lakini ujue kuna kesi huko mbele ya haki.
 
Kunasiku tulienda kijijini familia nzima, sasa kuna kikao cha ukoo kilifanyika kisha kuna ndugu akawa kama anamsema mzee wetu kwa mafumbo flani hivi.... basi sister alisbindwa kuvumilia alimrukia yule jamaa head moja matata...🤣🤣 basi mimi nikawa nime simama nikajiweka kwa utayari wa vita aiseee....😂😂 watu wote walituliaaaaa kana kwamba hakuna kilicho tokea....😜😜
🤣🤣🤣🤣Safii Sana,huyo inabidi awe msimamizi mkuu wa familia!Kuna watu wanaleta dharau sana
 
Njoo inbox ikiwa na mchanga wa pale alipokanyanga miguu yake yaani Julia na kushoto na majina yake matatu,
 
Back
Top Bottom