Nahitaji kumroga mtu, aliyenipiga mbele ya mke wangu

Nahitaji kumroga mtu, aliyenipiga mbele ya mke wangu

Habari wakuu,

Haya sio masikhara nimemaanisha na nipo tayari kwa galama zozote zile na hata atakaenipa connection nikalifanikisha hili nitampa zawadi nzuri sana.

Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu, miaka 7 nyuma tumesaidiana nae mambo mengi sana miaka hiyo katika kuhustle na maisha kipindi hiko sikuwa na chochote, ila jamaa yangu alikuwa na kiwanja cha urirthi kwa wazazi wake ila kilimshinda kujenga, na alinipa wazo kuwa anatafta wa kumuuzia, nilimshauri sana asiuze ila akagoma hadi nilipomshauri aniuzie mimi mwanae.

Na hapo alinikatia kipande nikampa hela japokuwa sikuwa na hela ila nilijipiga nikauza bodaboda yangu na vitu vya ndani nikanunua kile kijisehemu kwa mwana, na hatukuuziana kishkaji nilimpa pesa aliotaka, ila kando ya yote jamaa alikuwa mtemi sana anajua mashol arts na alikuwa mwalimu wangu pia wa mashol arts japokuwa haikiuwa ile sana ila jamaa ndio michezo yake.

Baada ya mauziano yale mimi niliamua kujichanganya mtaani kivingine, Inshaallah mungu kajalia ya jana sio kama ya leo nikaanza kushusha tofari, nimejenga na Inshaallah Mungu kabariki nimepata na kausafili kidogo maisha yale tuliokuwa tunaishi na mwana yamebaki historia kwangu.

Ila cha ajabu mwana kaanza chuki za ajabu kwangu akija hata hasalimii ananipita tu, sasa juzi kati mwana nikaona kaleta tofari kama 300 hivi kajenga kichumba cha slope chumba kimoja na kakibanisha mpakani kiasi kwamba hata nikitaka kujenga fensi hapo lazima niingie kwangu, mimi nikavunga tu.

Sasa cha ajabu jana nimekuta mwamba kachimba shimo la choo dirishani kwangu kabisa na choo kafunika na mabati na magogo juu na kichumba cha udongo. Hapa uvumilivu ulinishinda nikaenda kumuuliza mwana vipi mbona unazingua?

Cha ajabu mwana kaanza kunibatukia mara hoo hela zako hazinitishi mimi, mara hoo unadharau siku hizi kisa unamiliki kinyumba na kigari na maneno kibao, nikaona nisikae kinyonge nikaamua kumpasulia mwana kuwa maisha yako unayafelisha mwenyewe kwa kutokujibidisha na kupambana na mambo yasiyo na msingi, hapo ndipo jamaa katoka kanipiga ngumi mbele ya mke wangu na watoto wangu,

Kusema kweli huyu jamaa siwezi kwenda kumshtaki maana nahisi adhabu atakayopata haitaendana na kile alichonifanyia, pia kukaa kuendesha kesi na mjinga wa aina hii nikunipotezea mda tu, Tatu ashakuwa jirani yangu kumuepuka na mavisa yake haya ni ngumu.

Maana mwana kuna kipindi wanatoa viti nje na wahuni wenzie wanaanza kunywa pombe na kunitukana kunisema kimafumbo, hakika hadi najuta kuwa na ujirani na huyu mwana, na kibaya nakumbuka ni mwana ambae tumehustle nae kitambo kiasi kwamba hata kama kuna kitu anahitaji akinifuata nitamsaidia ila yeye njia alioiamua ni kuanzisha uhasama na mimi ambao chanzo chake sikijui, na kibaya anasogeza hadi becon kwa kuamini kuwa siwezi kupigana nae kwa kuwa namjua kuwa yeye ni mtemi.

Sasa kwa haya anayonifanyia hakika mungu atanisamehe kwa maamzi haya niliyoyaamua ya kujihami nae, yaani polisi siwezi kwenda maana atajina bado ni mwamba pia atanipotezea mda, so nimeamua kujihami dhidhi yake kwa njia ya kumkomesha. na natangaza atakaenifanikishia hili nitamshukuru na kumlipa.

Wale wacha Mungu tusameheane kidogo, kila kilichopo duniani kakileta Mungu maana hakuna sehemu yaa uumbaji wa shetani hivyo hata wachawi naamini karma zao zimetoka kwa Mwenyezi Mungu ili kutusaidia sisi wanyonge tusiokuwa na nguvu, ili tupambane na hawa wababe.
Chief c upauze hapo uhamie kwingine. Kwanini upambane na mtu mjinga atakupotezea raman bure. Uza kanunue kwingine maisha yaendelee.
 
maelezo yote nimeweka hapo kuwa siwezi kwenda kumshtaki huyu mjinga alienikosea adabu kiwango hiko nataman nimkomeshe afe kifo cha maumivu

Mara nyingine watu wakorofi na wakaidi na wanao onea wana nchi hiyo ndio dawa yenyewe walahi!
Umrestishe inipisi tu[emoji13]
 
Kama una 80 elfu.... Uje na kuku wawili mweusi na mweupe!

Picha yw Jamaa tu!

Alafu useme unataka nini
1. Tuitumie nyota yake kukupa wewe hela
2.Tumfilisi mpk boksa
3.Akuogope bila sababu

Kuua Hapana
 
Jifikilie Mara mbilimbili kwanza kabla ya kufanya maamuzi unataka kumfanyia kazi au hasira tu.?
 
Kama una 80 elfu.... Uje na kuku wawili mweusi na mweupe!

Picha yw Jamaa tu!

Alafu useme unataka nini
1. Tuitumie nyota yake kukupa wewe hela
2.Tumfilisi mpk boksa
3.Akuogope bila sababu

Kuua Hapana
njoo pm kama umeamaanisha
 
Kuna mwamba kajenga choo cha kienyeji mbele ya geti la kuingia nyumbani kabisa....watu wana roho mbaya sana....Huyu kuna siku atakuta choo nimekigonga kabisa...watu wana-shari sana..

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada anataka kumroga mtu aliyempiga mbele ya mkewe na hataki jambo lingine. Sasa naona umemshauri aende serikali za mtaa tena wakati yeye amesema hata polisi hataki kwenda

Ungesoma maneno vizuri usingekuwa na huu mtazamo.
 
Mkomeshe tu lakini usimuue mkuu mfanye aje akuombe msamaha mbele ya mkeo Lakini kuua sikushauri
 
Mwanaume unapigwa mbele ya mkeo nanwatoto.wanaume wa dar nyie Bado kuvaa bikin
 
Pole sana ..mkodie wahuni..Ni uhakika kuliko waganga
Hio ni hatari sana, atafungwa maana wakimjeruhi watatafutwa Naye ndio atakuwa suspect no1.
Tumesona Jabari za watu kutunga humu humu JF kutokaba na uchumi huo.
Non violently approach ndio huwa suluhisho. Cha msingi ajitenge nae tu.
Wapalestina na waidlael tangu wanaize kutunishiana misuli hakuna mahindi mpaka leo.
 
Back
Top Bottom