Nahitaji kumuoa Babe Kabae wa Clouds Tv kwma bado yupo single

Tumalize huu mjadala kwa kusema ANA MUME,NI DADA MWENYE KUHESHIMU WAKUBWA NA WADOGO,HANA MAJIVUNO,NI MBUNIFU MZURI KTK MAMBO YA KIJAMII,KABILA LAKE NI LA KIUNGWANA NA NI MU UMINI WA KIISLAMU.

THE END
 
Sasa kabila lake ni la kiungwana, kwani kuna makabila ambayo si ya kiungwana?
 
Babe Kabae popote ulipo kama unasoma ujumbe huu na endapo bado upo single naomba uni-PM nahitaji tuongee uwezekano wa mimi kukuoa kama hautojali.
Utakaponyeshewa mvua ya risasai 38 ndo utajua kama yuko Singo ama la.
CC: [HASHTAG]#sizonje[/HASHTAG] njoo kuna mtu anakubip huku
 
Kazeeka sasa tofauti na wakati akiwa mtangazaji eatv na east african radio.

Wakati huo wa sister dread.
Ni mdada fulani yupo makini sana.
 
Tumalize huu mjadala kwa kusema ANA MUME,NI DADA MWENYE KUHESHIMU WAKUBWA NA WADOGO,HANA MAJIVUNO,NI MBUNIFU MZURI KTK MAMBO YA KIJAMII,KABILA LAKE NI LA KIUNGWANA NA NI MU UMINI WA KIISLAMU.

THE END
Kwahiyo?
 
Back
Top Bottom