Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Kwani amekwambia anatafta cha ajabu au anataka kumuoa????mbona upo nje ya mada tenaSasa hapo kunanini cha ajabu,
Babe Kabae popote ulipo kama unasoma ujumbe huu na endapo bado upo single naomba uni-PM nahitaji tuongee uwezekano wa mimi kukuoa kama hautojali.
Tumalize huu mjadala kwa kusema ANA MUME,NI DADA MWENYE KUHESHIMU WAKUBWA NA WADOGO,HANA MAJIVUNO,NI MBUNIFU MZURI KTK MAMBO YA KIJAMII,KABILA LAKE NI LA KIUNGWANA NA NI MU UMINI WA KIISLAMU.
THE END
Utakaponyeshewa mvua ya risasai 38 ndo utajua kama yuko Singo ama la.Babe Kabae popote ulipo kama unasoma ujumbe huu na endapo bado upo single naomba uni-PM nahitaji tuongee uwezekano wa mimi kukuoa kama hautojali.
Jamaa anajifanya taahiraUnasafiria nyota vya Dr shika ya kujitoa akili sio!?
Abdul Maliki wa Super Mills mmiliki wa Cool Blue,Tembo Tiles na Safari Cargo?Ameolewa mmewake Ostadh mkubwa tu
Ana mtoto anaitwa Abdul Malik ulizia babake kwanza
Ni pm kama kweli unamkubaliMi namkubali sana uyu mama yupo makini sana adi raha
Kwahiyo?Tumalize huu mjadala kwa kusema ANA MUME,NI DADA MWENYE KUHESHIMU WAKUBWA NA WADOGO,HANA MAJIVUNO,NI MBUNIFU MZURI KTK MAMBO YA KIJAMII,KABILA LAKE NI LA KIUNGWANA NA NI MU UMINI WA KIISLAMU.
THE END