Nahitaji kununua gari la zamani maarufu 'mgongo wa chura' nalipata wapi?

Nahitaji kununua gari la zamani maarufu 'mgongo wa chura' nalipata wapi?

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,064
Napenda sana hizi vitu,nataka nii pimp iwe nzurii,safiii ajabu

Ntapata wap hii kitu wakuu ndugu zangu
Nmehangaika sana ,nying nakuta haziko kwenye hali nzuri,yaan mbovu sana

Nataka yenye uangalau,niifanyie miujiza

Nauhakika watu wataitaman tuu,wengne hata kui kodi,...heb kachek hako aisee,daaah

Uzi tayar.
IMG_20190115_203945_194.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hizo ni classic
Kwa Ulaya zile za zamani kama miaka ya 60 na 70 zipo juu kwa bei
Kwa nyumbani kuipata ambayo iko in good condition ni chache sana na wenye nazo hawauzi
Bahati kuipata labda uiagizie nje hali ukijua na ushuru wake bandarini

Sent from my SM using Tapatalk
 
Duh iyo ki2 inanikumbusha 2012 kuna mkuu wng mmoja msela msela alikua naiyo ki2 Dah mziki aliokua ameufunga kwene iko kimwendo wakobe ilikua nishida asee..

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabsa,sasa mi ntakipiga rang nyeupe full,ndan leather nyeupe,na rim za hatari,mziki m1 wa ajabu,..kuna jamaa ana renault,zile za zaman,daa,ka i pimp huwez amin yan,utafkir yuko cuba,siunajua hzo ndo gar za cuba had leo wanatumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hizo ni classic
Kwa Ulaya zile za zamani kama miaka ya 60 na 70 zipo juu kwa bei
Kwa nyumbani kuipata ambayo iko in good condition ni chache sana na wenye nazo hawauzi
Bahati kuipata labda uiagizie nje hali ukijua na ushuru wake bandarini

Sent from my SM using Tapatalk
Kuagiza hyo kitu,nmetafta sanaa mtandaon,sivioni.sasa sjui labda niagize kitoke russia huko au cuba,hahah..maana site za wajapan hakuna,au labda kitoke ulaya,..sasa sjajua zakayo wa bongo watanitoza ngapi aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuagiza hyo kitu,nmetafta sanaa mtandaon,sivioni.sasa sjui labda niagize kitoke russia huko au cuba,hahah..maana site za wajapan hakuna,au labda kitoke ulaya,..sasa sjajua zakayo wa bongo watanitoza ngapi aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha eti Cuba
Mbona UK zimejaa sana zipo mpaka za £700 mkuu angalia AutoTrader au Gum tree

Sent from my SM using Tapatalk
 
Acha kabsa,sasa mi ntakipiga rang nyeupe full,ndan leather nyeupe,na rim za hatari,mziki m1 wa ajabu,..kuna jamaa ana renault,zile za zaman,daa,ka i pimp huwez amin yan,utafkir yuko cuba,siunajua hzo ndo gar za cuba had leo wanatumia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa kwaulivyokipangia kwl wayakutafuta wakikodishe asee, kitakua classic sana shuhuli ipo ktk upatikanaji wake ila naiman utakipata tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nitafte sasa serious,maana nimevitafta sana bongo,madalali wote wa instagrm wananijua sabab ya hili gar,..kila nikiipata inakua mbov sana,matengenezo na ku i pimp inakua bora hata ununue mpya
Hahahaha eti Cuba
Mbona UK zimejaa sana zipo mpaka za £700 mkuu angalia AutoTrader au Gum tree

Sent from my SM using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda sana hizi vitu,nataka nii pimp iwe nzurii,safiii ajabu

Ntapata wap hii kitu wakuu ndugu zangu
Nmehangaika sana ,nying nakuta haziko kwenye hali nzuri,yaan mbovu sana

Nataka yenye uangalau,niifanyie miujiza

Nauhakika watu wataitaman tuu,wengne hata kui kodi,...heb kachek hako aisee,daaah

Uzi tayar.View attachment 995556

Sent using Jamii Forums mobile app
.....daah...kama vile upo akilini mwangu ......natamani sana haka kakobe nikafanyie utundu kama hivi......miaka ya nyuma Moshi vilikuwa vinapatikana vingi sana...kwa sasa sijui...
FB_IMG_1522926225786.jpg
FB_IMG_1522926254242.jpg
FB_IMG_1522926232600.jpg
FB_IMG_1522926301189.jpg
FB_IMG_1522926244855.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
.....daah...kama vile upo akilini mwangu ......natamani sana haka kakobe nikafanyie utundu kama hivi......miaka ya nyuma Moshi vilikuwa vinapatikana vingi sana...kwa sasa sijui...
View attachment 995703View attachment 995707View attachment 995708View attachment 995709View attachment 995710

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaaaaaaaaaah...mjomba,yan hapo ndo umezid kunichanganya,yaan hapo ukifika nacho mahali na mtu akija na range,watu watashangaa kakobe chako aisee range wataipita tuu,hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unahitaji wacheki Old School Rides Tz kwenye page yao Instagramu uchukue namba zao uwasiliane nao.

Yule kiongozi wao anazo hizo Vw Beetle,Combi na gari nyingine za zamani.

Hapo uwezi kukosa kama una hitaji hilo gari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom