Acha kabsa,sasa mi ntakipiga rang nyeupe full,ndan leather nyeupe,na rim za hatari,mziki m1 wa ajabu,..kuna jamaa ana renault,zile za zaman,daa,ka i pimp huwez amin yan,utafkir yuko cuba,siunajua hzo ndo gar za cuba had leo wanatumiaDuh iyo ki2 inanikumbusha 2012 kuna mkuu wng mmoja msela msela alikua naiyo ki2 Dah mziki aliokua ameufunga kwene iko kimwendo wakobe ilikua nishida asee..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuagiza hyo kitu,nmetafta sanaa mtandaon,sivioni.sasa sjui labda niagize kitoke russia huko au cuba,hahah..maana site za wajapan hakuna,au labda kitoke ulaya,..sasa sjajua zakayo wa bongo watanitoza ngapi aiseeMkuu hizo ni classic
Kwa Ulaya zile za zamani kama miaka ya 60 na 70 zipo juu kwa bei
Kwa nyumbani kuipata ambayo iko in good condition ni chache sana na wenye nazo hawauzi
Bahati kuipata labda uiagizie nje hali ukijua na ushuru wake bandarini
Sent from my SM using Tapatalk
Hahahaha eti CubaKuagiza hyo kitu,nmetafta sanaa mtandaon,sivioni.sasa sjui labda niagize kitoke russia huko au cuba,hahah..maana site za wajapan hakuna,au labda kitoke ulaya,..sasa sjajua zakayo wa bongo watanitoza ngapi aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa kwaulivyokipangia kwl wayakutafuta wakikodishe asee, kitakua classic sana shuhuli ipo ktk upatikanaji wake ila naiman utakipata tuAcha kabsa,sasa mi ntakipiga rang nyeupe full,ndan leather nyeupe,na rim za hatari,mziki m1 wa ajabu,..kuna jamaa ana renault,zile za zaman,daa,ka i pimp huwez amin yan,utafkir yuko cuba,siunajua hzo ndo gar za cuba had leo wanatumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha eti Cuba
Mbona UK zimejaa sana zipo mpaka za £700 mkuu angalia AutoTrader au Gum tree
Sent from my SM using Tapatalk
HahahaMcheki Rais wa zamani wa Uruguay Jose Mujika anayo anaweza akakuuzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa kwaulivyokipangia kwl wayakutafuta wakikodishe asee, kitakua classic sana shuhuli ipo ktk upatikanaji wake ila naiman utakipata tu
Sent using Jamii Forums mobile app
.....daah...kama vile upo akilini mwangu ......natamani sana haka kakobe nikafanyie utundu kama hivi......miaka ya nyuma Moshi vilikuwa vinapatikana vingi sana...kwa sasa sijui...Napenda sana hizi vitu,nataka nii pimp iwe nzurii,safiii ajabu
Ntapata wap hii kitu wakuu ndugu zangu
Nmehangaika sana ,nying nakuta haziko kwenye hali nzuri,yaan mbovu sana
Nataka yenye uangalau,niifanyie miujiza
Nauhakika watu wataitaman tuu,wengne hata kui kodi,...heb kachek hako aisee,daaah
Uzi tayar.View attachment 995556
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaaaaaaaaaah...mjomba,yan hapo ndo umezid kunichanganya,yaan hapo ukifika nacho mahali na mtu akija na range,watu watashangaa kakobe chako aisee range wataipita tuu,hahaha.....daah...kama vile upo akilini mwangu ......natamani sana haka kakobe nikafanyie utundu kama hivi......miaka ya nyuma Moshi vilikuwa vinapatikana vingi sana...kwa sasa sijui...
View attachment 995703View attachment 995707View attachment 995708View attachment 995709View attachment 995710
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaaaaaaaaaaah...mjomba,yan hapo ndo umezid kunichanganya,yaan hapo ukifika nacho mahali na mtu akija na range,watu watashangaa kakobe chako aisee range wataipita tuu,hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu kwangu Kinyerezi ubadilishe mlo