Wakuu habari.
Katika harakati za kutaka kujiajiri nimejikuta nikaanzisha shule ya chekechea na msingi (english medium) mikoani kwa kununua ekari 8 na kujenga madarasa 3 na choo. Napata shinikizo kubwa la wazazi la kunitaka nipate usafiri. Nina watoto 34. Bajeti yangu ni tsh.15/- mil. Ningependa nipate min bus iliyotumika. Hivyo mwenye kufahamu au anayeuza min bus. tuwasiliane 0784529785. Napokea uhauri wowote pia. ahsanteni.