Nahitaji kununua gari min bus (used) ya kubeba wanafunzi

Mwananzengoo

Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
56
Reaction score
25
Wakuu habari.
Katika harakati za kutaka kujiajiri nimejikuta nikaanzisha shule ya chekechea na msingi (english medium) mikoani kwa kununua ekari 8 na kujenga madarasa 3 na choo. Napata shinikizo kubwa la wazazi la kunitaka nipate usafiri. Nina watoto 34. Bajeti yangu ni tsh.15/- mil. Ningependa nipate min bus iliyotumika. Hivyo mwenye kufahamu au anayeuza min bus. tuwasiliane 0784529785. Napokea uhauri wowote pia. ahsanteni.
 
Milion 15 labda utapata Toyota Noah. Mimi kwa ushauri wangu jaribu kuongea na Bank kama wanaweza lkukukopesha ili ukanunue Mini Bus ila ziko juu nadhani zaidi ya 25 Million. Ila kama una mkopo mwingine na hujapata wanafunzi wengi itakuwa vigumu kulipia mkopo Bank. Au tafuta sponsors nasikia wanapatikana kwenye net. Huo ndio ushauri wangu
 
Back
Top Bottom