Ila mkuu kama hua unaangalia sana magari utaona magari ya tradecarview yapo pia beforward, sbt etc ila ya tradecarview wameongeza bei kimtindoTradecarview huwa naogopa Sana Magari yao huu mtandao unafanana na mtandao wa hapa kwetu kupatana.com
Wengi wanaofanya biashara na jamaa huwa wanalalamika saana kuhusu Magari mabovu,sijajua bado kama hawa seller wanafanyiwa inspection za Magari Yao kama ilivyo be forward, SBT na autorec
Hili jambo ni ukweli show room za bongo hua wanashusha KM haswa kwenye Crown maana SBT crown mileage zinasoma 189,000+ ila wauzaji wa magari quality wanaitwa japanesevehicles.comAaaah!!! Wapi ni jinsi vile picha zao Tu vinavyotokea Kwenye mitandao Yao pia huwa hawachezi odometer ukikuta gari IPO km 70000 inakuwa hivyo tofauti na Magari ya Kwenye yard za hapa DAR huwa wanachezea cluster...
Hili jambo ni ukweli show room za bongo hua wanashusha KM haswa kwenye Crown maana SBT crown mileage zinasoma 189,000+ ila wauzaji wa magari quality wanaitwa japanesevehicles.com
TradeCarView ni madalali wanachokifanya ni kukuunganisha na mwenye gari ili mu-negotiate. Ndio maana stock ya magari yao utaiona kwenye kampuni zingine pia. Wanapataje faida? Hili swali siwezi kulijibu, wanajijua wenyewe.Ila mkuu kama hua unaangalia sana magari utaona magari ya tradecarview yapo pia beforward, sbt etc ila ya tradecarview wameongeza bei kimtindo
Sasa hela yako ya mawazo ulitaka New Car (0 kms)Sijui ni mimi tu,,ila magari ya online kama sbt ama beforward naonaga kama yamechoka alafu yashakula kilometa za kutosha,
Inbox ndo anakwenda kutapeliwa mchana peupe. Madalali mna dhambi Sana aiseeHuna haja ya brockers hata kidogo, jua unataka gari gani, la mwaka upi (full specifications) Zama online huko sbt, be forward, autorec, trust vehicle na wengine...
Na mm napata ushauri mzuri sana....shukran sanaNenda be forward online, chagua gari bargain mpaka mwisho , wakikutumia invoice CIF Dar, nenda office za beforeward maeneo ya posta omba ulipe kwenye Tz account yao, halafu wajulishe Japan na Tanzania office watawajulisha. Utabaki unasubili gari lako. Tz office watakufanyia pia makadirio ya gharama zote mpaka iwe yako
Ukishaona kampuni yupo mtu mweusi usiwaamini 100% Bora uingie beforward, SBT japana direct.Kuna jamaa wanaitwa Mwacar wako vipi hawa.
Hawa jamaa Bei zao zimesimama kuliko Beforward.TradeCarView ni madalali wanachokifanya ni kukuunganisha na mwenye gari ili mu-negotiate. Ndio maana stock ya magari yao utaiona kwenye kampuni zingine pia. Wanapataje faida? Hili swali siwezi kulijibu, wanajijua wenyewe.
Halafu kuna mtu atasema siyo vizuri kumbagua mtu mweusi!Mtu mweusi anabaguliwa kutokana na sababu kama hizi na ni sahihi kabisa kubaguliwaUkishaona kampuni yupo mtu mweusi usiwaamini 100% Bora uingie beforward, SBT japana direct
Waswahili tatizo letu si waaminifu. Hatuna exposure na wajuajiHalafu kuna mtu atasema siyo vizuri kumbagua mtu mweusi!Mtu mweusi anabaguliwa kutokana na sababu kama hizi na ni sahihi kabisa kubaguliwa
Halafu bei zao hazijapishana na showroomUkishaona kampuni yupo mtu mweusi usiwaamini 100% Bora uingie beforward, SBT japana direct.
**Kuna vikampuni mshenzi vimejaa insta wanapiga picha parking mliman city na kule mapori ya chuo kwa kuibia nyingine wanakabidhiana kadi za magari STUKA. Unatapeliwa asubuhi mapema