Nahitaji kununua gari online

Nahitaji kununua gari online

Tradecarview huwa naogopa Sana Magari yao huu mtandao unafanana na mtandao wa hapa kwetu kupatana.com

Wengi wanaofanya biashara na jamaa huwa wanalalamika saana kuhusu Magari mabovu,sijajua bado kama hawa seller wanafanyiwa inspection za Magari Yao kama ilivyo be forward, SBT na autorec
Ila mkuu kama hua unaangalia sana magari utaona magari ya tradecarview yapo pia beforward, sbt etc ila ya tradecarview wameongeza bei kimtindo
 
Aaaah!!! Wapi ni jinsi vile picha zao Tu vinavyotokea Kwenye mitandao Yao pia huwa hawachezi odometer ukikuta gari IPO km 70000 inakuwa hivyo tofauti na Magari ya Kwenye yard za hapa DAR huwa wanachezea cluster...
Hili jambo ni ukweli show room za bongo hua wanashusha KM haswa kwenye Crown maana SBT crown mileage zinasoma 189,000+ ila wauzaji wa magari quality wanaitwa japanesevehicles.com
 
Hili jambo ni ukweli show room za bongo hua wanashusha KM haswa kwenye Crown maana SBT crown mileage zinasoma 189,000+ ila wauzaji wa magari quality wanaitwa japanesevehicles.com

Jamaa wana gari chache ila quality
 
Ila mkuu kama hua unaangalia sana magari utaona magari ya tradecarview yapo pia beforward, sbt etc ila ya tradecarview wameongeza bei kimtindo
TradeCarView ni madalali wanachokifanya ni kukuunganisha na mwenye gari ili mu-negotiate. Ndio maana stock ya magari yao utaiona kwenye kampuni zingine pia. Wanapataje faida? Hili swali siwezi kulijibu, wanajijua wenyewe.
 
Huna haja ya brockers hata kidogo, jua unataka gari gani, la mwaka upi (full specifications) Zama online huko sbt, be forward, autorec, trust vehicle na wengine...
Inbox ndo anakwenda kutapeliwa mchana peupe. Madalali mna dhambi Sana aisee
 
Nenda be forward online, chagua gari bargain mpaka mwisho , wakikutumia invoice CIF Dar, nenda office za beforeward maeneo ya posta omba ulipe kwenye Tz account yao, halafu wajulishe Japan na Tanzania office watawajulisha. Utabaki unasubili gari lako. Tz office watakufanyia pia makadirio ya gharama zote mpaka iwe yako
Na mm napata ushauri mzuri sana....shukran sana
 
Kuna jamaa wanaitwa Mwacar wako vipi hawa.
Ukishaona kampuni yupo mtu mweusi usiwaamini 100% Bora uingie beforward, SBT japana direct.
**Kuna vikampuni mshenzi vimejaa insta wanapiga picha parking mliman city na kule mapori ya chuo kwa kuibia nyingine wanakabidhiana kadi za magari STUKA. Unatapeliwa asubuhi mapema
 
TradeCarView ni madalali wanachokifanya ni kukuunganisha na mwenye gari ili mu-negotiate. Ndio maana stock ya magari yao utaiona kwenye kampuni zingine pia. Wanapataje faida? Hili swali siwezi kulijibu, wanajijua wenyewe.
Hawa jamaa Bei zao zimesimama kuliko Beforward.
 
Ukishaona kampuni yupo mtu mweusi usiwaamini 100% Bora uingie beforward, SBT japana direct
Halafu kuna mtu atasema siyo vizuri kumbagua mtu mweusi!Mtu mweusi anabaguliwa kutokana na sababu kama hizi na ni sahihi kabisa kubaguliwa
 
Ukishaona kampuni yupo mtu mweusi usiwaamini 100% Bora uingie beforward, SBT japana direct.
**Kuna vikampuni mshenzi vimejaa insta wanapiga picha parking mliman city na kule mapori ya chuo kwa kuibia nyingine wanakabidhiana kadi za magari STUKA. Unatapeliwa asubuhi mapema
Halafu bei zao hazijapishana na showroom
 
Gari unayouziwa na mbongo,.sio ya kuiamini hata kidogo..kwa mbaaaali gari anayoitumia mwanadada.
 
Back
Top Bottom