Nahitaji kununua gps (nipo mwanza)

Nahitaji kununua gps (nipo mwanza)

Tabulele

Senior Member
Joined
Jan 31, 2023
Posts
147
Reaction score
278
Habari wadau. Nahitaji kununua GPS, kwaajil ya kunisaidia kuchukua coordinates kwenye maswala ya uchimbaji (mining).
Budget yangu ni kuanzia Tshs 400,000/= mpaka 900,000/=

Kama nikapata contacts za dukani kwa Mwanza au Geita nitashukuru zaidi
 
GPS map nzuri ni Garmin na bei zake ni zaidi ya 900K

Mfano garmin 66S ina display nzuri, digital touch ya 3"
Bei yake ni 1.3mil

Nyingine utapewa ambazo accuracy yake ni ndogo hivyo ukawa wabahatisha
 
GPS map nzuri ni Garmin na bei zake ni zaidi ya 900K

Mfano garmin 66S ina display nzuri, digital touch ya 3"
Bei yake ni 1.3mil

Nyingine utapewa ambazo accuracy yake ni ndogo hivyo ukawa wabahatisha
Mkuu unaweza kunipatia angalau contact za muhusika? Nakuja PM
 
Back
Top Bottom