T Tabulele Senior Member Joined Jan 31, 2023 Posts 147 Reaction score 278 May 19, 2023 #1 Habari wadau. Nahitaji kununua GPS, kwaajil ya kunisaidia kuchukua coordinates kwenye maswala ya uchimbaji (mining). Budget yangu ni kuanzia Tshs 400,000/= mpaka 900,000/= Kama nikapata contacts za dukani kwa Mwanza au Geita nitashukuru zaidi
Habari wadau. Nahitaji kununua GPS, kwaajil ya kunisaidia kuchukua coordinates kwenye maswala ya uchimbaji (mining). Budget yangu ni kuanzia Tshs 400,000/= mpaka 900,000/= Kama nikapata contacts za dukani kwa Mwanza au Geita nitashukuru zaidi
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 May 19, 2023 #2 GPS map nzuri ni Garmin na bei zake ni zaidi ya 900K Mfano garmin 66S ina display nzuri, digital touch ya 3" Bei yake ni 1.3mil Nyingine utapewa ambazo accuracy yake ni ndogo hivyo ukawa wabahatisha
GPS map nzuri ni Garmin na bei zake ni zaidi ya 900K Mfano garmin 66S ina display nzuri, digital touch ya 3" Bei yake ni 1.3mil Nyingine utapewa ambazo accuracy yake ni ndogo hivyo ukawa wabahatisha
T Tabulele Senior Member Joined Jan 31, 2023 Posts 147 Reaction score 278 May 20, 2023 Thread starter #3 HIMARS said: GPS map nzuri ni Garmin na bei zake ni zaidi ya 900K Mfano garmin 66S ina display nzuri, digital touch ya 3" Bei yake ni 1.3mil Nyingine utapewa ambazo accuracy yake ni ndogo hivyo ukawa wabahatisha Click to expand... Mkuu unaweza kunipatia angalau contact za muhusika? Nakuja PM
HIMARS said: GPS map nzuri ni Garmin na bei zake ni zaidi ya 900K Mfano garmin 66S ina display nzuri, digital touch ya 3" Bei yake ni 1.3mil Nyingine utapewa ambazo accuracy yake ni ndogo hivyo ukawa wabahatisha Click to expand... Mkuu unaweza kunipatia angalau contact za muhusika? Nakuja PM