De Professor
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 237
- 505
Dar 20- 35,000 mpaka 40,000Bei ya Dar sh ngapi na hiyo bei ya chini unayoitaka ni sh ngapi?
Ok,Bata mzinga wanauzaje?Dar 20- 35,000 mpaka 40,000
Hasa kanga weupe bila 40-50 hupati
Tatizo la mayai kuna risk sana unaeza nunua mayai kumbe hayana mbengu...unaeza totolesha mayai ila kukuza kifaranga from day 1 hadi mwezi ukajikuta amebakia kifanga 1Kuhusu kanga kwanini usinunue mayai halafu ukawaekea kuku wayalalie mana yai moja linauzwa 1000?
Dah! Mkuu serious umeamua kunifanyia mambo ya sensa humu?Ok,Bata mzinga wanauzaje?
Kama upo Dar sinunui Kanga zaidi ya elfu 20 na kama ni Kanga mweupe nitanunua kwa elfu 20Mm ninao kanga wa kutosha,,kama upo serious nauza mmoja kwa 30 ukichukua kuanzia 10 ntashusha had 28.