Ahsante , chini ya Tsh 10,000/=Hakunaga kitu kinaitwa bei rahisi kabla ya mkataba wa manunuzi au mauziano.
Bei ambayo kwako unasema ni rahisi kwa mwenzako inaweza kuwa ni kubwa na ngumu kumudu.
Nadhani ungeweka ofa yako mezani kwa maana ya unatafuta kuku wa uzito gani na jinsia gani hata rangi kama unapendelea iwe pekee then chagua halafu weka offer yako mezani wauzaji watakutafuta.
nayajua hayo maeneo huyu ndug yetu afike huko atakushukuru sanaNi kweli kama alivyosema Zemanda maelezo yako hayajajitosheleza.
Anyway, umesema una access ya kufika kokote Tz! Basi tembelea maeneo yafuatayo kuku wanapatikana kwa urahisi sana (ila sijajua bei yake);
Moshi (v) vijiji vya Kata za Kahe, Kyomu, Chekereni mpaka Mwanga... Makambako; vijiji vya ubena, utengule na kule mlowa... Kondoa kata za Darabi, Masange, Mnenia, Chungai, Bambare... Pia Dodoma wilaya ya Mpwapwa, vijiji vingi kuku wa kienyeji wanapatikana kwa urahisi sana, Kila la kheri.