Nahitaji kununua laptop

mwanamimi

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2017
Posts
251
Reaction score
160
Wakuu habari za majukumu,

Nilikuwa nahitaji laptop used ya kununua .specification ziwe hizi processor core 5 au 7. Generation ya 5 au ya sita HDD 500gb bajeti yangu Ni 400000 - 500000.

Location Niko Mwanza .

Kama iko dar pia mzigo naweza kuufata.
 
hiyp laki nne unapata mashine kali sana funga safari njoo machinga ukifika uliza kwa osama,jamaa ana mashine nzuri
 
Asante kwa ofa yako. Hii ni generation ya 1 naitaji kuanzia generation ya nne Na kuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…