Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
Wana JF,
Nahitaji kuwanunulia ndugu zangu walioko mkoani used Laptop preferably Toshiba, Dell au HP (Specifications sio issue kwa sasa, mimi nitawachagulia kulingana na uwezo wao). Kwa yeyote anayejua ninapoweza kuzinunua tafadhali anipe habari.