H Hosea Kasenya Member Joined Sep 23, 2018 Posts 7 Reaction score 0 Sep 24, 2018 #1 Habari ndg zangu Naombeni jamani kwa mtu anayeuza/anajua sehemu ng'ombe wa maziwa wanauzwa Tuwasiliane, nahitaji ng'ombe watatu wenye mimba Breed:fresian, aryshire or brown swiss
Habari ndg zangu Naombeni jamani kwa mtu anayeuza/anajua sehemu ng'ombe wa maziwa wanauzwa Tuwasiliane, nahitaji ng'ombe watatu wenye mimba Breed:fresian, aryshire or brown swiss
Uchira 1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 5,994 Reaction score 8,696 Sep 25, 2018 #2 mkuu unawafahamu ukiwaoneshwaaa? na unataka pure au waliofanyiwa cross?
H Hosea Kasenya Member Joined Sep 23, 2018 Posts 7 Reaction score 0 Sep 25, 2018 Thread starter #3 Yaaah, , , Nawafahamu sanaaa
H Hosea Kasenya Member Joined Sep 23, 2018 Posts 7 Reaction score 0 Sep 25, 2018 Thread starter #4 Pure breed nikiwapata itakuwa njema zaidi
Uchira 1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 5,994 Reaction score 8,696 Sep 25, 2018 #5 poa mkuu ngoja nikuangalizie mahala ila hapo wana fanya cross kati ya fresian na aryshire, hamna pure kati ya hizo mbili
poa mkuu ngoja nikuangalizie mahala ila hapo wana fanya cross kati ya fresian na aryshire, hamna pure kati ya hizo mbili
Uchira 1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 5,994 Reaction score 8,696 Sep 25, 2018 #6 unataka mtamba au ambaye alishawahi zaa?
H Hosea Kasenya Member Joined Sep 23, 2018 Posts 7 Reaction score 0 Sep 25, 2018 Thread starter #7 Ntashukuru sana brother,
H Hosea Kasenya Member Joined Sep 23, 2018 Posts 7 Reaction score 0 Sep 25, 2018 Thread starter #8 Ni mkoa gani huko
H Hosea Kasenya Member Joined Sep 23, 2018 Posts 7 Reaction score 0 Sep 25, 2018 Thread starter #9 Mtamba au ailiyewahi kuzaa once Bt akiwa na mimba
Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,065 Reaction score 18,358 Sep 26, 2018 #10 Nenda Iringa kwa Ndoto farms au asas Kuna kipindi niliona anasema twitter ataanza kuuza mitamba
H Hosea Kasenya Member Joined Sep 23, 2018 Posts 7 Reaction score 0 Sep 26, 2018 Thread starter #11 Asas wamesema hawauz kaka