Nahitaji kununua ng'ombe wa maziwa

Nahitaji kununua ng'ombe wa maziwa

Hosea Kasenya

Member
Joined
Sep 23, 2018
Posts
7
Reaction score
0
Habari ndg zangu
Naombeni jamani kwa mtu anayeuza/anajua sehemu ng'ombe wa maziwa wanauzwa Tuwasiliane, nahitaji ng'ombe watatu wenye mimba
Breed:fresian, aryshire or brown swiss
 
mkuu unawafahamu ukiwaoneshwaaa? na unataka pure au waliofanyiwa cross?
 
poa mkuu ngoja nikuangalizie mahala ila hapo wana fanya cross kati ya fresian na aryshire, hamna pure kati ya hizo mbili
 
Nenda Iringa kwa Ndoto farms au asas Kuna kipindi niliona anasema twitter ataanza kuuza mitamba
 
Back
Top Bottom