mheshimiwamtemi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 291
- 218
Nina fundi mzuri sana wa suti, kama utapenda naweza kukupatia mawasiliano yake.Nahitaji suti ya harusi, bei poa, kali na yenye rangi ya kisasa.
Nijuzeni ni rangi gani nzuri na nitapata wapi kwa hapa Dar.
Asante.
Usije mshonea zile suti za fundi Maiko, akajutaungekuw huku mbinga ningekushonea kwa mkono wangu
Nipatie ndugu yanguNina fundi mzuri sana wa suti, kama utapenda naweza kukupatia mawasiliano yake.
280 suti 2 MkuuBudget yako ni kiasi gani Bwana harusi?
Anapatikana pia instagram, search mbogofashion.Nipatie ndugu yangu
Ok, ngoja nikimpata fundi flani hivi mzuri ntakurudia, na zinahitajika lini ?280 suti 2 Mkuu
Naomba namba PM kama hautojali mkuu.Nina fundi mzuri sana wa suti, kama utapenda naweza kukupatia mawasiliano yake.
Hawa washona suti za ma celeb ukienda mtu kama hujulikaniAnapatikana pia instagram, search mbogofashion.
Simpigii promo ila ndiye anayewashonea suit kina Joti na Mpoki.
Kabla ya July 25Ok, ngoja nikimpata fundi flani hivi mzuri ntakurudia, na zinahitajika lini ?
Asante MkuuOk, ngoja nikimpata fundi flani hivi mzuri ntakurudia, na zinahitajika lini ?