SARAMONIC ni nzuri lakini hazidumu (take my word, hazidumu). BOYA sio nzuri kiviiiiile lakini ni imara na durable.
Ukiwa na pesa nunua zenye brand ya SENNHEISER (AVX-835), ni gharama lakini ni bora sana na imara/madhubuti sana, tena sana. Zipo handheld mics pamoja na lapels, chaguo ni lako.