Well said ushauri mzuri.Wa alaykum salaam Msumeno!
Kwa ushauri wangu tafadhali maadam wewe ni Muislam na unajitambulisha kwa Uislam wako basi hapa si salama kwako kupata mke mwema. Rejea Msikitini kwako au misikiti ya jirani wahusishe Maimam au Wanawake wema wakutafutie mke.
Muombe Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi utafanikiwa.
.
Barakaallah fik
Wa alaykum salaam Msumeno!
Kwa ushauri wangu tafadhali maadam wewe ni Muislam na unajitambulisha kwa Uislam wako basi hapa si salama kwako kupata mke mwema. Rejea Msikitini kwako au misikiti ya jirani wahusishe Maimam au Wanawake wema wakutafutie mke.
Muombe Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi utafanikiwa.
Assalam aleikum,, mimi ni mtu mzima nina umri wa miaka 45 , ninawatoto wakubwa tulozaa na marehemu mkee wangu, nahitaji mke wenye umri wa 35 mpaka 40 hata kama ana mtoto, kigezo ni dini tu mimi ni mwislam,, muhimu pia kujua mimi si mwenye pesa ila najihangaisha kutafuta riziki halali na insha allah naipata na wanangu wanasoma. Nawaombeni sana kejeli na mambo kama haya si stahiki yangu maana yalo nikuta sikutaka ila ni mipango ya allah, ni pm uliye tayari au mwenye kuhitaji habari zaidi juu yangu
wabillahi tawfiq
Mpendwa Data jioni njema? Mkuu ujio mwema na kwa heshima nimefurahi kuuliza Kind thanks, Mimi kusema BarakaAllah Fik = hii ni neno la kiarabu lenye utukufu kijamii na kiimani ,,Ok Mkuu tuanze na neon la mwanzo Barakaukimaanisha nini hapo?