msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,734
Assalam aleikum,, mimi ni mtu mzima nina umri wa miaka 45 , ninawatoto wakubwa tulozaa na marehemu mkee wangu, nahitaji mke wenye umri wa 35 mpaka 40 hata kama ana mtoto, kigezo ni dini tu mimi ni mwislam,, muhimu pia kujua mimi si mwenye pesa ila najihangaisha kutafuta riziki halali na insha allah naipata na wanangu wanasoma. Nawaombeni sana kejeli na mambo kama haya si stahiki yangu maana yalo nikuta sikutaka ila ni mipango ya allah, ni pm uliye tayari au mwenye kuhitaji habari zaidi juu yangu
wabillahi tawfiq
wabillahi tawfiq