YAHERI MUNGU
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 318
- 215
umri huo mpaka sasa bado hujaoa mmmhHabari za wanaJF? Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 36, nipo hapa Dar es Salaam. Baada ya kushughulika na michakato ya maisha, hasa kuweka mikakati mizuri, sasa muda wa kuoa ndiyo umefika. Sasa ninahitaji kuoa, kuwa na mwanamke ambaye umri wake siyo zaidi ya miaka 30. Kuhusu kabila mimi sibagui. Ila mwanamke huyo asiwe mpenda maslahi! Mimi na yeye tutatafuta tukiwa pamoja. Atakayekuwa tayari, tafadhali tuwasiliane ili tuweze kuelezana zaidi. Asanteni.