Nahitaji kuonana au kuwasiliana na Waziri Ummy Mwalimu

Nahitaji kuonana au kuwasiliana na Waziri Ummy Mwalimu

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Ndugu wana-Jamiiforums wenzangu nahitaji kuonana au kuwasiliana tu na mhe. Ummy Mwalimu Waziri TAMISEMI naamini nikionana nae jambo letu kwenye kuinua elimu yetu tunaamini litakwenda hasa katika kipindi hiki cha utandawazi.

Nimefanya jitihada nyingi ila nimeshindwa wakuu vizingiti ni vingi aisee. Namini humu kuna watu wana-access nae direct au indirect

Naombeni sana msaada wenu na Mungu atawabariki..
 
Mwandikie barua, ukieleza hiyo hoja yako na kwa nini unataka kuonana naye ana kwa ana. Akiisoma na kuridhika atapanga muda na kukuita ili muongee.
 
Back
Top Bottom