KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe nahitaji tuonaneHao unatakiwa uchati nao pm sio huku
Nahitaji tuonane physicallyNimekuja niambie
Aisee na meeting Ina husu Nini??Nahitaji tuonane physically
Najiuliza why me?Aisee na meeting Ina husu Nini??
Afadhali umenipa clueUmepiga chenga ya mwili hapo kuna mdada umemuelewa umeamua kutuzuga🤣🤣🤣
The same hereNajiuliza why me?
Bwana amekuona binti yangu, jipe moyo anakuita😂😂😂Najiuliza why me?
Glenn ame comment hapo juu, kuna mahali bati limetoboka, kuna kamwangaza kadogo kana ingiaThe same here
Sawa nimeelewaGlenn ame comment hapo juu, kuna mahali bati limetoboka, kuna kamwangaza kadogo kana ingia
Mi ni chombo ya fundi, labda Unique Flower ndio kichwa cha habari kinamhusuBwana amekuona binti yangu, jipe moyo anakuita😂😂😂
Glenn ugomvi na tajiri ni hatari, hawakawii hao kuangua papai kwa goboleBinti yangu usinigombanishe na tajiri yenu nakuomba sana🤣🤣