Nahitaji kuondoa makovu mwilini

Nahitaji kuondoa makovu mwilini

rubylove

Senior Member
Joined
Jun 1, 2015
Posts
127
Reaction score
41
Habari.

Nilikuwa na shida ya kuondoa makovu kwenye mikono yangu.

Naombeni ushauri, au nitumie niin ili kuondoa?
 
Madoa yapo kwenye mikono sehemu gani na yalisababishwa na nini......?....

Dr Preta.........
 
Mimi nafanya kazi kwenye duka LA spear kwa hiyo ninaposafisha SAA zingine huwa nabanwa na hivyo vyuma kwahiyo najikuta mikono yangu inabaki na vijikovu vidogovidogo ambavyo mm huwa sijipendi
 
Dr Preta.........[/QUOTE]

swissme.

swissme
 
Back
Top Bottom