Mimi nafanya kazi kwenye duka LA spear kwa hiyo ninaposafisha SAA zingine huwa nabanwa na hivyo vyuma kwahiyo najikuta mikono yangu inabaki na vijikovu vidogovidogo ambavyo mm huwa sijipendi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.