rubylove Senior Member Joined Jun 1, 2015 Posts 127 Reaction score 41 Nov 25, 2015 #1 Habari. Nilikuwa na shida ya kuondoa makovu kwenye mikono yangu. Naombeni ushauri, au nitumie niin ili kuondoa?
Habari. Nilikuwa na shida ya kuondoa makovu kwenye mikono yangu. Naombeni ushauri, au nitumie niin ili kuondoa?
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Nov 25, 2015 #2 Madoa yapo kwenye mikono sehemu gani na yalisababishwa na nini......?.... Dr Preta.........
OME123 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,497 Reaction score 605 Nov 25, 2015 #3 Dr.preta kesho ntakutumia picha
rubylove Senior Member Joined Jun 1, 2015 Posts 127 Reaction score 41 Nov 26, 2015 Thread starter #4 Mimi nafanya kazi kwenye duka LA spear kwa hiyo ninaposafisha SAA zingine huwa nabanwa na hivyo vyuma kwahiyo najikuta mikono yangu inabaki na vijikovu vidogovidogo ambavyo mm huwa sijipendi
Mimi nafanya kazi kwenye duka LA spear kwa hiyo ninaposafisha SAA zingine huwa nabanwa na hivyo vyuma kwahiyo najikuta mikono yangu inabaki na vijikovu vidogovidogo ambavyo mm huwa sijipendi
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,894 May 7, 2016 #5 Dr Preta.........[/QUOTE] swissme. swissme