Nahitaji kuongeza biashara hapa dukani

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
917
Reaction score
2,217
Najishunghulisha na biashara ya duka. Everyday hua naumiza kichwa vipi nitaongeza pesa zaidi hapa dukani. Leo asubuhi wakati natembea likanijia wazo la kuanza kuuza juice za kutengeneza na mabarafu

Friza ninalo
Friji ninazo
Blender uhakika wa kupata ni 100%

Naomba kupata mawazo yenu hasa hapo kwenye juice, utunzaji na ili biashara iende kipi nifanye? Vitu gan nizingatie?

Natanguliza shukurani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakikujibu unitagi mkuu, ingekuwa ni story ya kugegeda au kula tunda kimasihara huu uzi ungekimbiza sana
 
Mwanangu nakufuatiliaga sana natamani nijue duka lako lipo mkoa gani na mazingira yapi, inaonekana duka limekutoa, Namimi nataka nianze.

cha msingi kama una friza fanya mpango uwe na juice ya kutengeneza(kama huwezi kutengeneza vizuri tafuta mtu akutengenezee yenye ubora unainunulia kwake, kama mtaji hana unampa kila kitu akutengenezee utamlipa) , maziwa mgando, kuku zile broiler zilizonyonyolewa tayar ni kupika tuu!, ukipata na samaki mbichi mambo yatakaa njema!! Fanya hivyo
 
Mimi nipo dsm ndugu

Cwezi kusema biashara imenitoa ila hatua nmepiga angalau...!!biashara inaenda vzuri...kikubwa n ubunifu...na lugha nzuri kwa wateja
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli....hii biashara cjawah kufikiria kufanya...!!kikubwa knachonsaidia ni nnajua kuzungumza na watu....!!kujiongeza na ubunifu

Mimi nilianza na laki 2..!!mpaka sasa angalau mtaji umekua mpk mil.8


Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ni vyema ungefikiria kuwa na chain of hyo maduka, ukipata right system unaweza kuwa nayo hta ishirini na ukayamanage vizuri tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks ndugu....sema nataman kufungua biashara pengne....tatzo n mtu wa kmuweka dukan

Sent using Jamii Forums mobile app

Jitahidi ukuze mtaji kidogo ndio umpatie mtu ..maana wakati wa sasa unaweza mpa mtu wale wateja wako tegemezi wasielewane lugha.

Unajua biashara nayo wateja wanachagua muuzaji ..wakiona leo fulani hayupo wanapita mbali mfano hai ni mabanda ya wauza chips
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…