BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 917
- 2,217
Najishunghulisha na biashara ya duka. Everyday hua naumiza kichwa vipi nitaongeza pesa zaidi hapa dukani. Leo asubuhi wakati natembea likanijia wazo la kuanza kuuza juice za kutengeneza na mabarafu
Friza ninalo
Friji ninazo
Blender uhakika wa kupata ni 100%
Naomba kupata mawazo yenu hasa hapo kwenye juice, utunzaji na ili biashara iende kipi nifanye? Vitu gan nizingatie?
Natanguliza shukurani
Sent using Jamii Forums mobile app